boobookitty
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 255
- 174
Kuna wanaume mnavyolalamika wanawake viuno vigumu oh hatujui mapenzi na wanaume pia wapo. Unakuta mwanaume wakati wa show hatoi ata sauti kimya kama bubu. Ni kuingia na kutoka..
Kuna wanaume bwana kabla ya tukio ataandaa wine mnalegea, sauti sasa za pale kati. Utapigwa deki utaita hadi mizimu ya kwenu ata kama show dakika mbili ila utachezewa had ukome.
Mwanaume kama huyu simuombi hata mia