Sina kila mwanamke anafaa kuwa mama!

Sina kila mwanamke anafaa kuwa mama!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Kuna wanawake kazi yao nikuwajaza watoto sumu ya maneno Mara baba yako hv Mara baba yako hakujali na wengine hawaishii hapo tu wanaweza kumwambia mtoto hata baba yako amekufa!kuna wanawake hawafai kabisa kuwa walezi wa watoto!wanasahau kuna asilimia 80% ya watoto wanatafuta baba sio mama
Message sent
 
Hapo kwenye sina nilikuwa namaanisha sio!natumaini mods watarekebisha hapo
 
Wanaume waliotelekeza watoto utawajua tuuu ......
Yaani ukimbie majukumu afu utake kusifiwa ?
 
Ni kweli kabisa mkuu ila nilichojifunza katika maisha ''every woman is a good woman to the right man'' labda huyo sio chaguo lake
 
Muache kutelekeza watoto toen matumizi muone kama yote ayo yatawakuta....
 
Sasa wewe unampa mimba mwanamke kisha unamtelekeza au kumtaka aichoropoe unadhan matokeo yake nn
 
Kama ulikataa mimba na hautunzi Mtoto ulitaka asemaje
 
Si wanaume wote wenye mbegu wanafaa kuwa baba. Wengine wangefaa kuwa sperm donners
Mwanaume hujui mtoto wako amepata chanjo
Mtoto wako anasoma shule gani?
Mtoto wako ana kitandani, godoro, shuka na chandarua
Mtoto wako amekuwa nini leo
Nakazia
 
Back
Top Bottom