Ulimuacha au Alikuacha...!??

Ulimuacha au Alikuacha...!??

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,163
Reaction score
43,988
Katika mahusiano kuna mambo mengi sanaa kuna kuvumiliana.. Lakini mwisho wa siku mambo yanakuwa magumu kila mtu anashika zake either Uachwee au Umuachee..!! Kiufupi mimi huwa Naacha tu...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] vip wew ulimuacha au alikumwagaa??[emoji848]
Screenshot_20180425-163129.jpg
 
Katika mahusiano kuna mambo mengi sanaa kuna kuvumiliana.. Lakini mwisho wa siku mambo yanakuwa magumu kila mtu anashika zake either Uachwee au Umuachee..!! Kiufupi mimi huwa Naacha tu...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] vip wew ulimuacha au alikumwagaa??[emoji848]View attachment 756655
Sio kwamba unatupiga changa LA macho! Yaani unaacha tu! Hakuna akuyekuotea akakubwaga mkuu
 
Mi mara nyingi uwa naoa usiku, halafu asubuhi wananiacha.
 
Katika mahusiano kuna mambo mengi sanaa kuna kuvumiliana.. Lakini mwisho wa siku mambo yanakuwa magumu kila mtu anashika zake either Uachwee au Umuachee..!! Kiufupi mimi huwa Naacha tu...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] vip wew ulimuacha au alikumwagaa??[emoji848]View attachment 756655
Mmh....mpaka kesho sijaunga na sidhani kama nitakuja unga!
 
Mimi hua siwaachi jumla,bali huwaweka tu pembeni kwa matumizi ya siku za mbeleni.
 
Back
Top Bottom