Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

P

positive woman

Member
Joined
May 12, 2015
Messages
15
Points
45
P

positive woman

Member
Joined May 12, 2015
15 45
Habari za humu wapendwa.
Ni mwanamke mwenye 30yrs, nina degree ya kwanza na nimeajiriwa naishi dsm, mwili size ya kati. Natafuta mwanaume ambaye M'Mungu akijaalia awe mume wangu.

Sifa za mwanaume:-
1. Awe Muislam, mwenye hofu ya Mungu
2. Kabila lolote
3. Mwenye kujitambua na aliye tayari kusettle na kujenga maisha pamoja
4. Mwenye kujua thamani ya mwanamke, na mwenye heshima kwa wanawake
5. Awe anajishughulisha kujiingizia kipato
6. Umri 30-40

NB: nipo serious kwa aliye tayari pls pm me for other details including my history, naomba jokes pembeni guys maana mnaweza kunikatisha tamaa pls.

Alive tayari tuwasiliane kwa mndele85@gmail.com
every conversation will b strictly confidential.

Asanteni.
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
32,003
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
32,003 2,000
Mh..wanakuja
 
M

mbm

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Messages
560
Points
250
M

mbm

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2011
560 250
Sifa zako ziko poa
Allah akujalie update aliye na msimamo
Nawe use na msimamo kama ulivyo onyesha
 
UncleBen

UncleBen

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
9,087
Points
2,000
UncleBen

UncleBen

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
9,087 2,000
Mtaani kwenu kote hujaona wakukufaa mpaka uje uhangaike na mizimu ya Jf
 
L

Loitore

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Messages
549
Points
0
L

Loitore

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2015
549 0
Habari za humu wapendwa.
Ni mwanamke mwenye 30yrs, nimeajiriwa naishi dsm, mwili size ya kati. Natafuta mwanaume ambaye M'Mungu akijaalia awe mume wangu.

Sifa za mwanaume:-
1. Awe Muislam, mwenye hofu ya Mungu
2. Kabila lolote
3. Mwenye kujitambua na aliye tayari kusettle na kujenga maisha pamoja
4. Mwenye kujua thamani ya mwanamke, na mwenye heshima kwa wanawake
5. Awe anajishughulisha kujiingizia kipato

NB: nipo serious kwa aliye tayari pls pm me for other details including my history, naomba jokes pembeni guys maana mnaweza kunikatisha tamaa pls.

Asanteni.
Ukiangalia kuharisha kwa bata hutamla..!!
 
M

mbm

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Messages
560
Points
250
M

mbm

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2011
560 250
pm our number
Alafu futa hii thread
 
UncleBen

UncleBen

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
9,087
Points
2,000
UncleBen

UncleBen

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
9,087 2,000
Acha matusi Uncleben.
Kwani palikua na ulazima useme chochote!?
Matusi gani ?? Kwani hii ID yangu una uhakika gani kama sio mzimu ,au ndio unataka uchukue point 3 kijanja
 
Last edited by a moderator:
Mgibeon

Mgibeon

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
8,902
Points
2,000
Mgibeon

Mgibeon

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
8,902 2,000
Hapo kwenye upositive ulionao ndio panatukatisha Tamaa, hebu fafanua positive kiaje maana akili zetu zinaenda mbali sana, halafu dini Sio issue sana coz nowdays ni unafiki tu umejaa kwa viongozi wa dini, kikubwa ni kupata tu mtu ambaye chemistry zenu zitaiva.
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
22,217
Points
2,000
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
22,217 2,000
Matusi gani ?? Kwani hii ID yangu una uhakika gani kama sio mzimu ,au ndio unataka uchukue point 3 kijanja
Sihitaji na sina haja ya kuzitafuta hizo unazoziita point aiseeee....
Pili, usinifananishe na wewe sababu ujana bado unakupeleka mbio.
Then, unakosea sana kumuita mwanadam ati Mzimu, kwana kwamba wewe ndie uliefanya uumbaji. Pia usije jindangaya kwamba kuna sehem maalum ya kupata mke/mume wa maisha yako.
Na mleta bandiko ameweka wazi kabisa kwamba hataki maneno ya kashfa wala kukatishwa tamaa, kwani pengine yawezekana yeye ameona na kuamini kwamba huyo wa maisha yake atampata humu jf.
Thanks
 
P

positive woman

Member
Joined
May 12, 2015
Messages
15
Points
45
P

positive woman

Member
Joined May 12, 2015
15 45
Mtaani kwenu kote hujaona wakukufaa mpaka uje uhangaike na mizimu ya Jf
My age and carreer took me off, sijui hata pakuanzia mpendwa. I had just one guy in my life ambaye nimedumu nae muda mrefu kdg and familia zetu zilikua zinajua but amenibadilikia sana hivi karibuni and nimejitahidi kumvumilia na kuona how we can work out but seems impossible na labda Mungu hajapanga
 
P

positive woman

Member
Joined
May 12, 2015
Messages
15
Points
45
P

positive woman

Member
Joined May 12, 2015
15 45
pm our number
Alafu futa hii thread
Nimeweka email address kwenye thread, nitatoa namba later kwa ambaye tutakubaliana. So mean time tuwasiliane kwa email hiyo.
 
M

markj

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
1,787
Points
1,500
M

markj

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2012
1,787 1,500
Ukiwa kama mdada una Miaka 30 yote hujapata mchumba hadi wewe ndo utafute mmmmmhhhhh ????????
 
P

positive woman

Member
Joined
May 12, 2015
Messages
15
Points
45
P

positive woman

Member
Joined May 12, 2015
15 45
Hapo kwenye upositive ulionao ndio panatukatisha Tamaa, hebu fafanua positive kiaje maana akili zetu zinaenda mbali sana, halafu dini Sio issue sana coz nowdays ni unafiki tu umejaa kwa viongozi wa dini, kikubwa ni kupata tu mtu ambaye chemistry zenu zitaiva.
U'positive unakutisha vp mkuu? It's just a name na kiukweli huwa sipanick in whatever situation, naamini ku'deal na issue zote kwa utulivu and mostly nipo na positive mind when comes to dealing wth any situation
 
UncleBen

UncleBen

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
9,087
Points
2,000
UncleBen

UncleBen

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
9,087 2,000
Sihitaji na sina haja ya kuzitafuta hizo unazoziita point aiseeee....
Pili, usinifananishe na wewe sababu ujana bado unakupeleka mbio.
Then, unakosea sana kumuita mwanadam ati Mzimu, kwana kwamba wewe ndie uliefanya uumbaji. Pia usije jindangaya kwamba kuna sehem maalum ya kupata mke/mume wa maisha yako.
Na mleta bandiko ameweka wazi kabisa kwamba hataki maneno ya kashfa wala kukatishwa tamaa, kwani pengine yawezekana yeye ameona na kuamini kwamba huyo wa maisha yake atampata humu jf.
Thanks
Aliyekuambia mimi kijana nani ?? Wewe kama sio mzimu umejuaje hilo
Kweli ni kosa kumwita binadamu mzimu ila kumwita binadamu ------ au Nguruwe ni thawabu toka kwa Mungu
Ndio maana hizo ndoa za sasa hivi hazina maana mnafunga leo kesho mmeachana na mara nyingi options zikiwa limited au Scarce most of us will cling onto whatever comes our way
Its not about finding someone but someone compatible
We are individuals with our own values ,personalities and interests
What are the chances that the first person you connect with us is a perfect match ????

So looking for your lifetime companion on Jamii forums works as much as babtizing a cat
 
relis

relis

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Messages
2,332
Points
2,000
relis

relis

JF-Expert Member
Joined May 24, 2015
2,332 2,000
Habari za humu wapendwa.
Ni mwanamke mwenye 30yrs, nimeajiriwa naishi dsm, mwili size ya kati. Natafuta mwanaume ambaye M'Mungu akijaalia awe mume wangu.

Sifa za mwanaume:-
1. Awe Muislam, mwenye hofu ya Mungu
2. Kabila lolote
3. Mwenye kujitambua na aliye tayari kusettle na kujenga maisha pamoja
4. Mwenye kujua thamani ya mwanamke, na mwenye heshima kwa wanawake
5. Awe anajishughulisha kujiingizia kipato

NB: nipo serious kwa aliye tayari pls pm me for other details including my history, naomba jokes pembeni guys maana mnaweza kunikatisha tamaa pls.

Alive tayari tuwasiliane kwa mndele85@gmail.com
every conversation will b strictly confidential.

Asanteni.
Kwa kweli ukhty mume umepata na vigezo vyote nimetimiza shughuli yangu kubwa mi mwalimu Wa madrasa kila umri wangu upon chini kidogo 24 kama upon tayari na umeridhika nami njoo tujenge maisha.
 
Forum statistics

Threads 1,336,420
Members 512,614
Posts 32,538,869
Top