Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia...Unampenda Mwanamke kabisa from ur heart,unajipanga unampiga saundi..anakujibu,''How old are you kaka'' unamwambia am 29...
11 Reactions
102 Replies
10K Views
Wanawake siku hizi wanaendeshwa na kitu kinaitwa fedha, nimekuwa na mchumba wangu takribani miaka miwili tunajipanga kufunga ndoa mwaka huu. Mara gafla kabadilika na akasema mi sikutaki nihesabie...
36 Reactions
64 Replies
7K Views
Kama kawa kama dawa. Mdogo wetu Gigi Money amefunguka tena baada ya kupewa mapicha picha na bwana wake. Ametushauri kwamba mtu yeyote duniani anayetafuta maisha aachane na mapenzi afanye mambo...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
( JINSI YA KUOMBEA WATOTO WAKO KUANZIA KICHWANI MPAKA MIGUUNI) Shallom Wazazi na Walezi Wenzangu ktk Jamvi! Leo tujifunze mada juu ya WATOTO, kwa kujifunza namna ya kuombea Miili ya Watoto wetu...
3 Reactions
7 Replies
18K Views
Najaribu kuwaza, kufuatia uzinduzi wa bidhaa mpya ya Fiesta Condom, nini hatima ya tamasha hili? Wataalam wa masoko watusaidie, kwangu mimi inaonesha tamasha hili litachukua sura mpya kabisa na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wadau. Niende kwenye mada. Nimekuwa nikijiuliza maswala kadhaa kuhusu mchango wa wanawake katika mafanikio ya wanaume. Lakini tafakuri yangu ilianzia katika wanaume waliofanikiwa katika...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Kaka zangu na dada zangu msaada tafadhali. Ni kuhusu huyu binti, natamani sana kuachana nae nianzishe mahusiano mapya lakni moyo wangu unaniuma nahisi nitakuwa sijamtendea haki mtoto wa watu...
0 Reactions
82 Replies
5K Views
Ukiwa kwenye mahusiano kuna mengi yanatokea. Inawezekana amesahau simu nyumbani, amekamatwa na polisi, ni mgonjwa amelazwa hospitali au ameamua kuupa nafasi uhusiano wenu ajitafakari zaidi...
35 Reactions
130 Replies
15K Views
Baada ya Fred kumaliza chuo alirudi kijijini kwao huko Malampaka. Fred alikuwa mtoto wa kwanza kuzaliwa na katika elimu yake mjomba wake alisaidia sana. Mjomba alikuwa na kampuni ya kusindika...
5 Reactions
29 Replies
5K Views
Wakuu nina jambo nataka tujadili. Katika miaka yangu ya kusoma kutoka awali mpaka kidato cha nne kuna kitu nimegundua, Siku zote wale watu wenye IQ kubwa darasani huwezi wakuta wako na skendo za...
1 Reactions
56 Replies
8K Views
Ni kweli yametokea. wahenga walisema "ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni" katika tukio la kustaajabisha uma na kusikitisha jijini dar es salaam.kijana mmoja mwenye asili ya Mtwara leo asubuhi...
5 Reactions
39 Replies
6K Views
Upendo ni kitu pekee ambacho hugusa hisia za moyo kwa nguvu ...huona kisichoonekana kwa macho...trust me hata yule dada wa uwanja wa fisi anae aliyewahi kuugusa moyo wake ...hata yule jamaa...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
-Kuhusiana na masuala ya mahusiano, kila mwanamme ana kile anachotafuta kwa mwanamke na anapoikosa ni rahisi sana uhusiano huo kusambaratika Huku baadhi wakiangalia rangi, wengine umbo, wengine...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Upo kwenye mahusiano unanyanyaswa kwa sababu unadhani uhusiano huo ni fadhila kwako ilhali unachostahili si kupendwa tu bali kuthaminiwa pia. Mara nyingi watu wasiojua wanachostahili huishia...
7 Reactions
39 Replies
3K Views
Deleted member 485868
Kuna Mwanamke yamemtokea ambayo yanaumiza sana Huyu mwanamke tunaishi nae mtaa mmoja amepanga kwa mmoja wa majirani zetu hapa mtaani Ameishi na mwanaume wake kama miaka 3 hivi kabla ya huyo...
8 Reactions
96 Replies
6K Views
Kutokana na sisi wanaume wengine kutokuwa watulivu macho juu juu tunakutana na maswahibu mengi sana. Anyway si ajabu inzi kufia kwenye kidonda. Nilikuwa kwenye harakati ya kumpata bi dada mmoja...
1 Reactions
63 Replies
9K Views
Habari zenu wana JF, Mama mwenye nyuma yangu nimkarimu sana na alinipenda sana kutokana na tabia zangu nzuri mpaka chakula hua ananiwekea basi nami nikaona isiwe tabu nikawa nikenda kazini...
1 Reactions
62 Replies
8K Views
jamani kuna mdgo wangu alimaliza chuo mwaka 2015 hajafanikiwa kupata kazi ana dplma ya account sasa anataka aende aka tembeze bahasha upande wa Zanzibar kwa ambao mnapafahamu Zanzibar vp upande wa...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Marafiki hamjamboo? Kwa sasa hivi hapo mlipo kila mmja wenu yupo busy anakitu anakifanya mf.kulala kula kuangalia tv . Wengine kazini. Tuanze kwangu mimi napika labda tuanzie hapo .
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Natumai nyinyi ni wazima wa afya. Wakuu kuna jamaa yangu ameoa huu ni mwaka wa pili yupo ndani ya ndoa ndoano.Tatizo ni kuwa mke wa jamaa ni mama wa nyumbani hivyo anagawa uroda kwa baba mwenye...
0 Reactions
81 Replies
7K Views
Back
Top Bottom