soul provider
JF-Expert Member
- Jun 21, 2014
- 1,355
- 2,194
Kaka zangu na dada zangu msaada tafadhali. Ni kuhusu huyu binti, natamani sana kuachana nae nianzishe mahusiano mapya lakni moyo wangu unaniuma nahisi nitakuwa sijamtendea haki mtoto wa watu.
Nimetoka nae mbali kipindi hicho nipo home sina michongo ya maana, nimechoka hataree. Binti kanielewa hivo hivo na utam napata simpi hata senti..
Now mambo yamekaa safi ingawa nature ya kazi yangu inanibana, naweza kukaa hadi miezi 6 bila kuonana na huyu binti.
Mipango ya kuwa na familia ninayo toka kitambo ila linapokuja suala la kutaka kumpa heshima huyu binti ya kuwa WIFE ndo utata unapoanzia. Sababu za huu utata hizi hapa;
1. Sinaga desturi ya kumuota huyu binti ila nakumbuka nilimuota mara moja tu lakni ndoto hio ni mbaya aisee aibu hata kusimulia.( Binti amelala na mdogo wangu wa kiume nami nikiwa nashuhudia)
2. Nimejaribu kuwaeleza walezi kuhusu mpango wangu wa kuoa, wamebariki ila bi Mkubwa nae kantisha sana na precaution yake nilipomjuza kabila la binti. Ameniambia niwe makini kabila la huyu binti ni Malaya na bla bla kibao tu vitu ambavyo ni the same things na vile nilivyo ona ndotoni.
3. Sijajua nini kinaendelea kati ya huyu binti na mdogo wangu wa kiume, nahisi kama dogo ameonja utam wa binti. Huwa anaongea na huyu binti vzuri tu ila nimerudi likizo mambo yamebadilika, hakuna tena amani kati yao. Kuna siku dogo alibadili njia alipomuona binti anakuja mbele yetu, hili tukio limenipa wasiwasi sana.
Mnipe mawazo yenu wapendwa. Huyu binti ni mpole, mcha Mungu, hana mambo mengi ukimuona anafaa kabisa kuitwa Mke ila huu utata kwa kweli nashindwa nishike lipi jema mbele yangu..!?