Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,639
- 2,086
Upendo ni kitu pekee ambacho hugusa hisia za moyo kwa nguvu ...huona kisichoonekana kwa macho...trust me hata yule dada wa uwanja wa fisi anae aliyewahi kuugusa moyo wake ...hata yule jamaa anaejifanya hayo mambo hayapo katika maisha yake... Anae aliewahi kuugusa moyo wake..
Na hii ndio nguvu ya upendo..
Muda mwingine upenda palipodhaulika.
Una jicho la tatu ...huona ndani ya mtu na ndio maana ni ngumu kusahau..kilichofanyika ndani ya upendo wa watu wawili waliopendana.
Upendo ubadilisha watu tabia... Kutoka nzuri kwenda mbaya au kutoka mbaya kwenda nzuri.. Hata jambazi akikutana na aliempenda akamwambia hacha tabia hiyo tuanze maisha ...yuko tayari kuacha..trust me.
Upendo uvumilia..
Upendo huleta tabasamu ..
Upendo ni utajiri...
Huwa na sikio linalosikia upande mmoja tu. Pale lilipopenda.. Na ndio maana ni ngumu kumshauri mtu aliyependa sana kumuacha mwenzake ..hata kama anapata mateso pale alipo ...kumshauri kumuacha mwenzake ni sawa na kumuongezea kaa la moto ndani ya moyo wake kwani ni jambo ambalo hataki kulisikia kwa wakati huo. Mara nyingi kwa wakati huo anataka kusikia mtu akimwambia vumilia ...hata kama wewe mshauri unaona haya hayavumiliki ..
Na ukiona mtu anabisha katika hili jua kuwa hakuwahi kupendwa wala kupenda...