Marafiki hivi mnafanya nini sasa hivi?

Marafiki hivi mnafanya nini sasa hivi?

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,761
Marafiki hamjamboo?
Kwa sasa hivi hapo mlipo kila mmja wenu yupo busy anakitu anakifanya mf.kulala kula kuangalia tv .
Wengine kazini.
Tuanze kwangu mimi napika labda tuanzie hapo .
 
Nipo nakula kwa mama ntilie na nahisi kijiko alichonipa hakijaoshwa...yaani tabu sana ndugu zangu
 
Marafiki hamjamboo?
Kwa sasa hivi hapo mlipo kila mmja wenu yupo busy anakitu anakifanya mf.kulala kula kuangalia tv .
Wengine kazini.
Tuanze kwangu mimi napika labda tuanzie hapo .
Nafuturu sheikh
 
Back
Top Bottom