Kwanini watu wenye uwezo mkubwa kiakili darasani huwa madomo zege?

Emok Jr

JF-Expert Member
Mar 17, 2018
1,094
795
Wakuu nina jambo nataka tujadili.

Katika miaka yangu ya kusoma kutoka awali mpaka kidato cha nne kuna kitu nimegundua, Siku zote wale watu wenye IQ kubwa darasani huwezi wakuta wako na skendo za mademu yani wao wako directly proportional na udomo zege.

Sasa swali langu ni kuwa hawa jamaa hawana sex hormones , wanaogopa kuharibu cv zao, Au mademu hawataki watu ambao ni nondo darasani?


Pia wale wanaoshika mkia darasani ndo huwa na totozi kali skuli.

Kwa hiyo wakuu naomba tujuzane hii theory ya watu wenye iq kubwa kuwa madomo ZEGE.

In BEIRA BOY voice.
 
Hahaha sasa umejuaje kuwa wenye IQ kubwa ni madomo zege mkuu wakati ni personal, itakuwa wanatumia mda mwingi kwenye masomo yao tofauti na hao unaowaita vilaza wao wanatumia kwa mademu
Hapo umeandika point sasa
 
Back
Top Bottom