Natumai nyinyi ni wazima wa afya.
Wakuu kuna jamaa yangu ameoa huu ni mwaka wa pili yupo ndani ya ndoa ndoano.Tatizo ni kuwa mke wa jamaa ni mama wa nyumbani hivyo anagawa uroda kwa baba mwenye...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka leo hii.
Binafsi...
Hatimaye Dogo anawowa!
Dogo kawapiga watu wee mwisho wa siku alijua atawowa wapi
Ni kama Alikiba kupiga wadada wa mjini alafu kawowa Mombasa
Kama wewe ndio ex wa Prince Harry sijui una Hali...
Habarini wanajamvi,
Mliopo kwenye mfungo, hongereni kwa Swaumu.
Twende kwenye mada, mnamo mwaka Jana waliajiriwa staff wapya hapa ofisini kwetu, mmoja wapo kati yao nimebahatika kuwa nae...
Mwanamke mjinga ambaye ni mwerevu hutafutwa na wanaume wajinga ambao ni waerevu kwa dua na maombi, pia husitiri maungo yake kwa mavazi nadhifu na yenye staha.....
Ndege wafananao huruka pamoja na...
Jioni hii nimekutana na binti flani kimo cha kati mweusi,juu mkubwa chini mdogo(umbo la simba dume)
Kavaa suruali ya kuchanika chanika kama chizi muokota makopo
Nikamsimamisha nikamwomba namba...
Unajua watz sio waelewa kabisaaa hasa vijana
Kauli Mbiu ya Nchi ni "Tanzania ya Viwanda"
Viwanda vinavyongelewa ni Viwanda vya:
1. Chakula (Food)
2. Dawa, Hospitali (Food)
3. Malazi (Real...
Wa mwanzo nitamzungumzia mwanamke niliye zaa nae. Nilikua nimempangia sehemu tofauti na nilipokua naishi. Japo alitamani kua na mimi muda wote lakini haikuwezekana kutokana na mazingira ila mara...
Akizungumza kwenye Friday Night Live ya East Africa Television, Shamsa amesisitiza kwamba mwanaume kusaliti ni jambo la kwaida, ila kwenye suala la usaliti kuna kiwango ambacho hakiwezi...
Tupo katika kizazi kibovu na haswa kwenye ndoa,mahusiano na malezi kwa lugha maridhawa tupo katika kizazi kigumu sana ......
Idadi ya wanawake wenye umri wa miaka 25 na kuendelea walio zaa kabla...
Asalaaam,
Kwanza nikiri kiukweli urafiki mwingi kati ya wanawake na wanaume huishia katika mahusiano au urafiki wa faida [friends with benefits]. Wapo wanaoenda mbali nakusema urafiki kati ya me...
Siku kama wiki nyuma nilikuwa naumwa niko tu gheto nimelala sijaenda mishe wala nini yaani ata ile kutoka tu kwenda dukani imekuwa inshu siwezi ,
Basi bhana niko na mpenz wangu japo hatuishi...
Habarini Chiefs
Kiukweli mimi Kudo,mara nyingi huwa sipendi ugomvi na mwanamke niwae kimahusiano,na tabia hii imepelekea wanawake niliodate nao kushindwa kuelewa kama nimewaacha au bado nipo...
Habari zenu,
Nimekua nikipita humu jukwaani na mara nyingi nimeona watu wengi wana feli sana katika kuwaelewa wanawake.
Mimi nimekua nikifanya tafiti zangu kwa muda mrefu sana pamoja na kusoma...
Kuolewa ni ndoto ya kila mwanamke aliyekamilika ila kama una tabia hizi utazeekea nyumbani
1: Tamaa ya utajili,fedha na mali pasipo kujua kuwa mali na vitu hutafutwa
Hapa wengi hupoteza nyota...
Habari wakuu,
Mimi sikubaliani na kitendo cha kumuacha mwanamke unayempenda kisa kakulet down au kakukwaza kwa namna moja ama nyingine.
Kila mwanamke ana maudhi yake. Kikibwa na kumchagua mmoja...
Makabila mengi yenye watu wavivu hususani wanaume wanagongewa sana wake zao hasa makabila ya pwani wazaramo na waluguru wanaume wengi wanacheza bao karata dhumna basi wake zao wanapotoka kwenda...
Kiukweli kukaa njia kuu kuna maana kubwa sana, baada ya kujifanya dazz Nunda kwa muda mrefu sasa leo hatimaye nimeingizwa mkenge.
Yaani leo nimepokea mshahara wangu wa mwezi mzima laki sita sasa...
Nawaandikieni nyie waume, maana Mungu amewapa hekima na busara ya kuwa kichwa na kutawala yale yaliyo chini yenu.
Unafahamu kwamba vitu unavyovifanya wakati mwanamke wako anapokua mjamzito...
Nadhani sipotezi muda sana
Ukweni walileta za kuleta kwamba wao wanipangie tarehe ya kuoa lakini nilichofanya
1. Nikasema chukueni binti yenu mi sipangiwi na sijaribiwi
2. Nikakata mawasiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.