Tafadhali epuka utegemezi wa kihisia

Tafadhali epuka utegemezi wa kihisia

DiasporaUSA

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
24,049
Reaction score
30,954
Upo kwenye mahusiano unanyanyaswa kwa sababu unadhani uhusiano huo ni fadhila kwako ilhali unachostahili si kupendwa tu bali kuthaminiwa pia.

Mara nyingi watu wasiojua wanachostahili huishia kunyanyaswa huku wakidhani hata huko kunyanyaswa ni kitu wanachostahili.

Lakini wakati mwingine ni mpaka ukutane na mtu sahihi atakayekupa stahili zako ndio unaweza kufunguka macho na kubaini ulivyonyanyasika huko nyuma.

I am sooooo lucky kuwa na huyu mrembo.

Na wewe julize leo "je ninapata/ninapewa nachostahili?" Nakutakia tafakuri njema.
 
Plain truth. Kinachowatesa watu wengi ni trauma bonding.
Ile kufikiria kuwa mpenz wake anaweza acha tabia fulan sababu mwanzon hakuwa hivyo.. siku zinakwrnda mtu habadiliki,hali ndio inazid kuwa mbaya..

Its time watu wa accept bayana kwamba mtu walie nae hawatendei haki. Na ni time to move on
 
Mambo ya kutegemea kuokota Dodo chini ya Mwarobaini.
 
Watu wengi huwa wana puuzia mambo mwanzoni kabisa mwa mahusiano. Ukisha ona mtu ana kupa emotional abuse tuu achana naye.
Kuna msemo unasema "when people show you, who they are believe them" ukosba ona tabia za ajab usi zipuuzie. Run away immediately.
 
Plain truth. Kinachowatesa watu wengi ni trauma bonding.
Ile kufikiria kuwa mpenz wake anaweza acha tabia fulan sababu mwanzon hakuwa hivyo.. siku zinakwrnda mtu habadiliki,hali ndio inazid kuwa mbaya..

Its time watu wa accept bayana kwamba mtu walie nae hawatendei haki. Na ni time to move on
For women, huwa wanatulia wakitarajia the man will change. Na wengine huingia kwenye ndoa wakijua atabadilika tu.

Wanaume on the other hand huwa wanavutiwa na mwanamke wakijua hatakuja kubadilika.

At the end of time, wanakuja kustuka when its rather late.
 
Thats right. Istead of hoping for nothing watu itavid waukubal ulweli kuwa dam ni nyekundu haiwezi kubadilika kuwa maji period.
 
Ila tunahitaj zaidi akili kuliko kutumia nguvu sana, ukweli mtupu sisi wanawake hua tunaona atabadilika, sometimes unajitahidi na kumsemea juu, unakuta mtu habadiliki,tena ndio mambo yanakua yanaenda sivo, muhim kutambua tu mwanaume au mwanamke anaekupenda yuko tayar kubadilikika, asiekupenda atazidisha maudhi umchoke uende, tujue tu hawakua sahihi kwetu, na wakat mwengine mtu unayemuona anafaa ndio jnaepaswa kumuacha aende ukaishi maisha yako kabla hujachelewa
 
"Mara nyingi watu wasiojua wanachostahili huishia kunyanyaswa huku wakidhani hata huko kunyanyaswa ni kitu wanachostahili.

Lakini wakati mwingine ni mpaka ukutane na mtu sahihi atakayekupa stahili zako ndio unaweza kufunguka macho na kubaini ulivyonyanyasika huko nyuma"

Aisee hapa tuu umemaliza
 
Ila tunahitaj zaidi akili kuliko kutumia nguvu sana, ukweli mtupu sisi wanawake hua tunaona atabadilika, sometimes unajitahidi na kumsemea juu, unakuta mtu habadiliki,tena ndio mambo yanakua yanaenda sivo, muhim kutambua tu mwanaume au mwanamke anaekupenda yuko tayar kubadilikika, asiekupenda atazidisha maudhi umchoke uende, tujue tu hawakua sahihi kwetu, na wakat mwengine mtu unayemuona anafaa ndio jnaepaswa kumuacha aende ukaishi maisha yako kabla hujachelewa
Alafu muda mwingine unaona kama ndio jinsi alivyo unajifunza kuchukuliana nae...na kusema huyu ndio alivyo na unaendelea kukaa kwenye maumivu. Sijui muda huo akili zinakuaga wapi??
 
Plain truth. Kinachowatesa watu wengi ni trauma bonding.
Ile kufikiria kuwa mpenz wake anaweza acha tabia fulan sababu mwanzon hakuwa hivyo.. siku zinakwrnda mtu habadiliki,hali ndio inazid kuwa mbaya..

Its time watu wa accept bayana kwamba mtu walie nae hawatendei haki. Na ni time to move on
Ukiona marangi rangi dawa ni kupiga chini mapema na kukamata toto nyingine mara moja.
 
Kuna watu masikini hawajua kama wanastahili yaliyo mema,.wanavumilia na kulea maumivu wakidhani mbele ya safari mambo yatabadilika...kitu chochote ili kiwe imara au kikue vzr ni "msingi" na sio msingi tuu,msingi imara...ukiona hamuelewani from the beginning au upendo wako unategemea upande mmoja lazima ujiulize mara mbilimbili,

Then,ukipewa mazuri hebu naww jaribu kutoa mazuri pia,.life is sooo beautiful mkielewana na kupendana kweli.
 
This is true, compatibility ni muhimu sana aisee...kuvumilia incompatibility inaumizaga upande mmoja always
 
Back
Top Bottom