Hatima tamasha la FIESTA.

Hatima tamasha la FIESTA.

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Najaribu kuwaza, kufuatia uzinduzi wa bidhaa mpya ya Fiesta Condom, nini hatima ya tamasha hili? Wataalam wa masoko watusaidie, kwangu mimi inaonesha tamasha hili litachukua sura mpya kabisa na kuonekana ni tamasha la kihuni.
 
jiulize maana ya neno fiesta ndio utaona sio uhuni
 
Back
Top Bottom