Nina wasiwasi mpenzi wangu mshirikina

Nina wasiwasi mpenzi wangu mshirikina

lazima ukae

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2013
Posts
791
Reaction score
417
Ni zaidi ya miezi nane sasa nipo kwenye mahusiano na mpenzi wangu ambapo kitabia sina mashaka nae ingawa ni ngumu kumuamini mtoto wa kike kwa asilimia 100% sababu wametawaliwa na tamaa ila mwenendo wake haunipi mashaka sababu mambo mengi huwa ananiweka wazi hivyo hanipi mashaka.

Tatizo linakuja kwamba tangu nimeanza mahusiano na huyu binti sijawahi kuliona tumbo lake sababu hata nikiwa nasex nae huwa anajifunika sehemu ya tumboni na nikimuuliza kwanini hapendi nione tumbo lake ananiambia kwamba kuna dawa amechanjwa na wazazi wake hivyo endapo nitafanikiwa kuona hizo chale ambazo amechanjwa basi nitapata matatizo.

Hali hii imekua ikinitisha kwakweli mpaka kuna wakati nawaza kwamba niachane nae mana nashindwa kujua ataendelea kunificha hivi mpaka lini na nahisi kama anapata tabu mana kila tukikutana lazima ajifunike kama sio na kanga basi taulo.

Kuna mdau yeyote humu amewahi kukutana na hali kama ninayokutana nayo mimi ?

Naombeni ushauri wadau mana nipo njia panda ingawa nampenda huyu binti
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Ninakupa ushauri wa Bure mtafutie
Burudani chupa 2.5 mpatie akolee kisawa sawa

hakikisha ubongo hauna mawasiliano na macho alafu mkague kama unavyotaka wewe
ikiwezekana pima na uwepo wa mtandao wa

tigomarinda ukimaliza ulete mrejesho
 
Ni zaidi ya miezi nane sasa nipo kwenye mahusiano na mpenzi wangu ambapo kitabia sina mashaka nae ingawa ni ngumu kumuamini mtoto wa kike kwa asilimia 100% sababu wametawaliwa na tamaa ila mwenendo wake haunipi mashaka sababu mambo mengi huwa ananiweka wazi hivyo hanipi mashaka.

Tatizo linakuja kwamba tangu nimeanza mahusiano na huyu binti sijawahi kuliona tumbo lake sababu hata nikiwa nasex nae huwa anajifunika sehemu ya tumboni na nikimuuliza kwanini hapendi nione tumbo lake ananiambia kwamba kuna dawa amechanjwa na wazazi wake hivyo endapo nitafanikiwa kuona hizo chale ambazo amechanjwa basi nitapata matatizo.

Hali hii imekua ikinitisha kwakweli mpaka kuna wakati nawaza kwamba niachane nae mana nashindwa kujua ataendelea kunificha hivi mpaka lini na nahisi kama anapata tabu mana kila tukikutana lazima ajifunike kama sio na knga basi taulo.

Kuna mdau yeyote humu amewahi kukutana na hali kama ninayokutana nayo mimi ?

Naombeni ushauri wadau mana nipo njia panda ingawa nampenda huyu binti
Piga chini mwanga huyo!
 
Atakuwa alipiga operesheni ya uzazi. Nawe mtu mzima unadanganywaje kitoto hivyo. Hebu vuta hio kanga kwa nguvu uone nini kitatokea.

Achana na akili kama za wafuasi wa maji maji war!
Ndio nilitaka nimpe hii. Yani kajifunika na kikanga tu unashindwa hata kukitatua uone yaliyomo?

Safari ijayo ukikutana nae akisaura tu akishajiziba na kanga we ivute kwa nguvu angalia kuna nini. Ebu kuwa kama mwanaume bwana.
 
Huyu mkuu anakuficha tu hana lolote. Sijui kwanini nimewaza hivi.
 
Back
Top Bottom