dripu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2017
- 1,310
- 1,143
Habari wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Kuna mdada mmoja nilichukua namba yake kukawa tunachart vizuri tu.
Sasa nikajisemea ninogeshe penzi nika mtumia hela bila yeye kuniomba cha ajabu kutoka hapo chart ikapungua na ukimpigia simu anajibu mkato
Mpaka nimeamua kuachananaye na sio huyo ni mara nyingi tu huwa inanitokea nikitanguliza hela bila kupata ninachotaka simpati kabisa
Sasa sijajua hawa dada zetu wanakuwa wanawaza nini kwenye hili.