Baada ya kumsomesha wife mpaka kuwa mwalimu

Baada ya kumsomesha wife mpaka kuwa mwalimu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Stori za huku kwetu Kwamtogole leo zimekuwa nyingi sana. Eliza alimaliza kidato cha nne na kupata cool ladies division. Kwa hasira wazazi wake walimpeleka evening classes pale Magogoni. Kule alianza kupiga pasi blouse za mtumba na kupaka lipstick Eliza asikutane na George mfanya kazi wa Ikulu. Usiniulize kazi ya George kule Ikulu hata kama ni mpika chai lakini yuko pay roll moja na katibu kiongozi.

Eliza Alipo pata mimba George aliamua kuwaona wazazi wa Eliza na kukamilisha taratibu za ndoa. Baada ya kufyaua watoto watatu George alimshauri Eliza kurudia mitihani ya kidato cha nne. Baada ya kupata cheti aliomba chuo cha ualimu private alipata.

Sasa amekuwa mwalimu Eliza anajiona matawi George ni wa chini kwake.
 
George bado anafanya kazi?, au aliachishwa? Tupime uzito wao (balance) kati ya kazi ya gorge na Eliza
 
Stori za huku kwetu Kwamtogole leo zimekuwa nyingi sana. Eliza alimaliza kidato cha nne na kupata cool ladies division. Kwa hasira wazazi wake walimpeleka evening classes pale Magogoni. Kule alianza kupiga pasi blouse za mtumba na kulala lipstick kheri asikutane na George mfanya kazi wa Ikulu. Usiniulize kazi ya George kule Ikulu hata kama ni mpika chai lakini yuko pat roll moja na katibu kiongozi.

Eliza Alipo pata mimba George aliamua kuwaona wazazi na kukamilisha taratibu za ndoa. Baada ya kufyaua watoto watatu George alimshauri Eliza Kurdish mitihani ya kidato cha nne. Baada ya kupata cheti aliomba chuo cha ualimu private alipata.

Sasa amekuwa mwalimu Eliza anajiona matawi George ni wa chini kwake.
mie nakoshwa tu na typing error zako tena najua wafanya kusudi
 
Back
Top Bottom