I'm dedicating this song to my one and only Asprin

Mwanamke anapompenda mwanamme anakua wazi sana, na hujitahidi kuifanya dunia yote ijue anampenda nakwamba anataka ammliki.

ugumu unakuja pale ambapo upande mmoja ndio unahangaika sana kuhakikisha Dunia hiyo ijue ,upande mmoja ndo unaelezea sana hisia zake.

Nikweli kabisa, sometime love is a language spoken by everyone but understood only by Heart ...yes, huenda habar za moyon huelezwa sana Kilichopo usoni , Ila ukweli utabaki huu Nilazima tupendane kwa kipimo sawa !! .

Ndugu yangu Asprin , Mdada Sky nampa 100% kwakuhakikisha anafanya kila analoweza humu kukulinda na kuwafanya "Vidudu mtu" viache au vijiulize mara mbilimbili kabla ya kukung'ata sikio...siunajua binadamu banaaaaaa tuna udhaifu au siooooooo...

Mwanamke anakupenda sana Mzeee ,kama mkeo umempata , Unajua yoyote anayekukubali nakukusimamia mbele za watu she /he is a Really one !!

Embu siku Moja nawewe , Mwambie namna gani unampenda ,huenda unamwambia kila siku nyumban, ila serious Siku moja umwelezee humu humu namna gani unavyompenda na namna gan unavyomchukulia .

Huenda uliwah mzungumzia, ila daaaahhh nmejaribu kupitia nyuzi zako sijaoa mahali unamzungumzia Mdada Huyu ,maybe zauko nyuma au nimecheki haraka haraka ........so sijanote !!

Ndio waweza sema Moyo ndo unajua, ila mkuu Wanawake wanapenda sana kua Appriciated , waone unathamini jitihada zao ,unatambua uwepo wake kwake ...... Huenda Hajawahi kukuambia hili, Ila fahamu ili pia nimoja ya hitaji lake Muhimu analolihitaji toka kwako hasa ukizingatia Jamii hii ya JF nijamii ndogo sana !!

Sky eclet endelea kua hivo hivo kwa Mumeo !! Asprin Muunge mkono Sky !! .
 
Aisee we jamaa una ushauri kuntu...

Ushauri wako unafanyiwa kazi...

Japo yeye anajua navyompenda...

Ngoja niandae mashairi mpate maneno kuntu ya kurusha ndoano kwa wachuchu wenu...
 
Aisee we jamaa una ushauri kuntu...

Ushauri wako unafanyiwa kazi...

Japo yeye anajua navyompenda...

Ngoja niandae mashairi mpate maneno kuntu ya kurusha ndoano kwa wachuchu wenu...
Safi sana ,unajua Baba yangu aliwahi niambia kua Hamna mwanamke ambaye hana hofu au wivu au wasiwasi kwa mumewe hata kama kila siku wanalala wote , hawajihisigi wenye ulinzi kabisa , hivyo wao daima hujitahidi kujieleza zaidi kama sehemu ya kuwafanya Maadui wake warudishe nyuma majeshi ambayo kwa namna moja Inamfanya ajihisi mwenye ulinzi.

Sasa ili ajihakikishie Hisia za ulinzu wake nipale ambapo nawewe utamshika mkono ... Amini nakuambia , ukimkubali mwanamke mbele ya watu wengi Inamfanya ajihisi Amani na mwenye kupendwa na mwenye Ulinzi sanaaaaaaa ( nahii hata km ukichepuka bila kujua yeye hana shida kwakua wameshajihakikishia ulinzi ,,,,,, JAPO KWA MWANAMKE KM SKY ECLET HUTAKIWI KUMCHITI ).

unajua mimi nikija Kuoa, mke wangu hata mbele za watu nitamshika mkono , na nitamtambulisha katika mazingira yoyote nitakayokutana nayo ,, nitahitaji dunia ijue nampenda yeye pekeake km vile navyompenda mama yangu.

Amin nakuambia, kuna wanawake ukiwa nao tu unajiona amani,furaha ,akupi mawazo , utakubaliana namm kua mwanamme ukiwa huna mawazo ya mahusiano hata kazi zako unazifanya vizuri sanaaa , sasa moja ya njia ya kutokua na mawazo, ni mwanamke wako kusimama nakusema mbele ya mtu "Am Mrs Asprin ,unahitaj nikusaidie nn??" ... Unajua inaleta Hamasa sana, lkn pia inathibitisha kua Mwanamke wako ameridhika naww in and out na kwakila kitu.

Sasa mkuu ,y naww usitumie JF ,FB,IG ,T,n.k Kuuambia ulimwengu kua Unampenda sana na moyon mwako yupo yeye pekee?? ...... Mkuuu Mwanamke akupaye Aman ,sio wa kumpa makando kando, zaidi kika siku yakupasa kujivunia Kua naye ,na umwelezee ilo mbele yako namachon pa watu wengi hata km nikwa marafiki zako .

Sky Eclet bana, sometimes natofautiana naye ktk nyuzi, ila linapokuja suala la hisia zake kwako huwa nampa 100%..unajua nn?? Hajivungi,haboi,, haoni shida,hachoki kukutaja, haangalii watu humu watasemaje ..siunajua wapo watakaosema " Huyu naye kila siku anajifanya tuuuu bwanake bwanakeeee ,mbona huyo bwanake hana muda naye wala hajawahi kumuandika???"" wapo wanamna hiii . Sina shaka Sky anakuweka ktk profile zake za social media , , Ulishawahi jiuliza kwann wake zawatu ningumu kuweka profile waume zao au kuwapost na kuwaelezea ? Unakuta kaweka yeye,na mwanae tu??? Sio kwamba anahofu utaibiwa nooo ,ika nisababu hataki kujizibia fursa zinazoweza kuja mbele yake.

Sasa nijukumu lako mkuu kuhakikisha wenye mawazo ya kumkejeli huyu mwanamama ,unawanyamazisha kwa nguvu zako namoyo wako wote tena kwakufanya jambo dogo tuu " waelezee kua unampenda mwanamke wako sana".

Humu ndan, wapo watu wanamahusiano lkn nifeki ,unajua ,kazi kubwa ni kuruka ruka tuuu ,wanaogopa hata kuelezana , sababu hana uhakika na yuko pekee ake au lah, orodha nikubwa na kufuru ,, lkn MTIZAME Sky eclet , haoni haja, ndio nimkeo lkn tazama ,hachoki kila siku,, Hii inaonyesha Anakuwaza muda wote, na anakufikiria sana .

Mkuu niishie hapa, mie huwa naandika magazeti,ila leo nmeandika kwaajili ya Sky ,kwasababu nimeona anastahili hilo !!

Maisha yenye aman na baraka muwe nayo, Mdada Sky Usije badilika wala Usichoke .... Kaba mpaka penati Mdada,,izi mambo za mu babu,ohooo my baba..ohooo my kaka asp, ohooo my anko, oohooo mzee mwenzangu,, SIKU UKILIGEZA tuu bomu linalipuka ,But i trust Asprin hatokaa kukuumiza kwasababu mwanamke mzuri haumizwi.
 
Back
Top Bottom