Hatimaye nimemjua mchumba mpya wa ex wangu

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Yap wadau nimefanikiwa kumjua mchumba wa Ex wangu na nimefurahi kumjua anaye chukua nafasi yangu nimefurahi sana yani kumjua
 
Umefurahi kumjua au umepagawa kumfahamu. Umefurahi kumjua ili iwe nini sasa?

Vijana jifunzeni kuwa na ukomavu wa mioyo. Dunia yenu hii ya sasa imejaa mambo ya kushtusha kila sehemu. Ukiwa na moyo mwepesi utakufa mapema sana na kusababisha simanzi kwa wazazi wako namarafiki.

Awe amekuacha, uwe umemwacha, yote hesabu kuwa sawa. Tafuta kuona mbali kwamba kuachana kwenu japo kunaumiza, lakini Mungu amekuepusha na usiyoyajua na kwamba ana mapngo ulio bora zaidi kwa ajili yako.

Acha kujiumiza kwa ajili ya mtu aliyeumbwa na Mungu kama wewe na ambaye hata yeye hajui hatima yake.

Songa mbele, mwangalie Mungu, samehe na ujitahidi kusahau, maisha yanasonga mbele. Utakuja kuona Wema wa Mungu kwako baadaye. Usizimie roho.
 
Kijipa kazi ya kumtafuta ni moja ya sababu za kuongeza maumivu yako! Inaonekana uliachwa na bado huamini kama umeachwa na bado utaumia mno kama utaendelea na tabia ya kumfatilia x wako
 
Sema roho inauma usijikoshe bure kibamia umekimbiwa

Swissme
umewai kukiona kibamia changu
Umefurahi kumjua au umepagawa kumfahamu. Umefurahi kumjua ili iwe nini sasa?

Vijana jifunzeni kuwa na ukomavu wa mioyo. Dunia yenu hii ya sasa imejaa mambo ya kushtusha kila sehemu. Ukiwa na moyo mwepesi utakufa mapema sana na kusababisha simanzi kwa wazazi wako namarafiki.

Awe amekuacha, uwe umemwacha, yote hesabu kuwa sawa. Tafuta kuona mbali kwamba kuachana kwenu japo kunaumiza, lakini Mungu amekuepusha na usiyoyajua na kwamba ana mapngo ulio bora zaidi kwa ajili yako.

Acha kujiumiza kwa ajili ya mtu aliyeumbwa na Mungu kama wewe na ambaye hata yeye hajui hatima yake.

Songa mbele, mwangalie Mungu, samehe na ujitahidi kusahau, maisha yanasonga mbele. Utakuja kuona Wema wa Mungu kwako baadaye. Usizimie roho.
asante ndugu ila nilikuwa na shauku sana ata yeye anashauku ya kumjua mchumba wamgu
 
Wewe si ndiye ulikuwa unalia lia kuwa asitume picha za mchumba wake mpya kwa kuwa utaumia? Nini kimechange?
 
Alafu si ajabu umemzidi kwa kila kitu, huwa inafurahisha sana.

Sema tu ndo ya ndani huyajui huwenda amekuzidi.
 
umewai kukiona kibamia changu
asante ndugu ila nilikuwa na shauku sana ata yeye anashauku ya kumjua mchumba wamgu

Why? Kama kweli mnashauku za dhat, kwa nini mtafute kuwaona kwa chances na msikutane mtambulishane?

Maisha mnayoyatafuta ni maisha ya maigizo ambayo si halisi, ili tu eti kutaka kujionyesha wewe ni bora kuliko mwezi wa x wako.

Haya maana. Mahusiano siyo jumla ya maisha yote. Umefail hapa, utafanikiwa pale. Songa mbele na ufanye mambo yenye tija. Hzi biashara za kuonyeshana, kukomeshana, mwisho wake mtaangamizana.

Mimi nimesema.
 
Back
Top Bottom