Hivi hii siku itakuja lini?

LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,312
6,638
Isaya:4.1

Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
 
Naona unaisubiria kwa hamu sana mkuu kumbuka mpaka sasa Ratio ni 1:4 kwa hiyo siyo siku nyingi sana yatatokea lakini nikukumbushe tu siyo wewe utakaefaidi labda ni kitukuu chako.
 
daah,sijui kwanini tuliwahi kuzaliwa kwenye generation hii..
 
Isaya:4.1

Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
Aisee huu mstari watakuwa hawauelewi kabisa
 
Back
Top Bottom