Watoto wamefunga shule, tuchunge kauli zetu humu jukwaani

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
42,433
49,103
Habari wanajamvi,

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka,

Hii ni likizo time kwa watoto wetu so tuchunge kauli zetu humu jukwaani msijejikuta mna date na mabinti zenu mkaumbuana baada ya kubadilishana contacts PM. Ikumbukwe kwamba vijana wako pubaty age bila shaka kipindi hiki hili jukwaa litapokea wageni wengi sana.

Ni hayo tu niwatakie heri walioko fasting.
 
Back
Top Bottom