Utafanyaje utapo gundua kuwa mkeo amezifunga nyeti zako zisimame kwake tu.
Utafanyaje? Amekufanya kila utapotongoza msichana mwingine kwenye simu anakubali akikuona tu anakukataa.Endapo akikubali...
Saivi wanawake ni shida tupu kati ya wanawake 30 wawili wanamapenzi ya kweli ila wengine 28 ni mwendo wa pesa, bila pesa baba hupati mwanamke na imefikia kipindi hawa Dada zetu hata suala LA...
KUPITIA UZI HUU NAWASIHI MJIFUNZE KUPITIA MIMI, UNARUHIWA KUULIZA CHOCHOTE PIA. Tangu nikutane na huyu mtu mambo yangu yalibadilika ghafla, nilikuwa na upendo mkubwa sana kwake kiasi kwamba...
Achilia mbali hela za kutoana out, ada za shule, matibabu, n.k MSOSI Ndio kitu muhimu katika familia inayojumiuish baba, mama na watoto.
Hawakukoseaga kusema ukioa au kuolewa kichwa ndo...
kwa nini wanawake nilio nao katika mahusiano ya mapenzi wakinipigia simu tuonane leo nikiwambia nimebanana na kazi huwa wananiambia " UNARINGA KWA KUWA UNAJUA K'TOMBA"?
Kila nikiusikiliza wimbo wa Ndindindi wa Jaydee naona ni matusi matupu kwa Gadner, maana kuna maneno mengi ya kuudhi mara kichaa hawezi kupona n.k. Wadau kwa hili jamaa hawezi kufungua hata kesi...
Albert Einstein alipata kusema kuwa "If you want to understand life,look deep into nature" Sasa unapoangalia katika viumbe hai wote hakuna kiumbe jike hata mmoja mwenye wivu. Wivu wa wanawake hawa...
Habari za majukumu wakuu..
Nimekuja na swali langu hapa ambalo limetokana na mke wangu..
Ishu ni hivi..
Wife nimemwambia sikukuu inakaribia na mishahara hatuwezijua itatangulia au sikukuu ndo...
Habari wana jukwaa, Hili ni miongoni mwa vitu ambavyo wanawake wengi huwa wana vimiss katika mahusiano yao ni swala la kufika kileleni. Ofcourse inahudhunisha kwa mwanamke kufanye sex bila kufika...
Wakuu,
Watu wenye makalio makubwa wengi wao wanakuwa na michubuko na wakati mwingine wanakuwa na fangasi kwenye makalio yao kutokana na makalio yao kusuguana hasa wakati wa kutembea.
Hivyo...
Mambo tisa usiyoyajua kuhusu ufanyaji tendo la ndoa kwa nchi nyingine
INAAMINIKA kwamba, tendo la ndoa miongoni mwa mambo ya kale zaidi na kwamba binadamu na wanyama wengine wasingeendelea...
Kwa wale mliokutana na wenza wenu mitandaoni, ambao tayari ni mume na mke. Je, ukiulizwa "ulikutana wapi na mke/mume wako", unaweza kusema wazi wapi mlikutana? iwe Facebook, badoo, instagram au...
Kuna baadhi ya wamiliki wa nyumba hasa maeneo ya mjini kudhibiti wapangaji wao wawapo kwenye mahusiano
Mfano
Kama kijana anakuwa na mahusiano wa wanawake wengi,baba au mama mwenye nyumba...
Muda si mrefu usiku huu nimekutana na mkasa wa dada mmoja kuvamiwa na wahuni na kumtafuna kwa mafungu,dada amekutwa na mkasa huo baada ya kukutana na kijana
Yaani nimemkuta dada akilalamika...
Sipendi watoto nawaona kama kero kwangu nikiwa sehemu kuna watoto nakua bored, kama kukiwa hamna watu nawafinya hata kama ajanifanya kitu. Mtoto akilia natamani nimchukue nimtupie nje.
Sipendi...
Ninakuja kwenu Wakuu kwa unyenyekevu, kwa namna ambavyo nimeona watu wanasaidika kimawazo kupitia jukwaa hili la JF. Ninawasalimu nyote. Naomba nilete kwenu changamoto ambayo nimekuwa nayo muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.