my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Sipendi watoto nawaona kama kero kwangu nikiwa sehemu kuna watoto nakua bored, kama kukiwa hamna watu nawafinya hata kama ajanifanya kitu. Mtoto akilia natamani nimchukue nimtupie nje.
Sipendi kelele, watoto wote wananiogopa wakiambiwa nenda kwa dada awataka wanaogopa, hata nikiwakuta wamekaa wanacheza nawafata nawafinya alafu naondoka sipendi hata kidogo kuona watoto wanaexist kwa hii dunia.
Hii normal au nina pepo?