Mke kumfunga mume nyeti zake zishindwe simama kwa wanawake wengine, nini tatizo?

kachonjo

Senior Member
May 25, 2018
161
197
Utafanyaje utapo gundua kuwa mkeo amezifunga nyeti zako zisimame kwake tu.

Utafanyaje? Amekufanya kila utapotongoza msichana mwingine kwenye simu anakubali akikuona tu anakukataa.Endapo akikubali jogoo awiki yani apandi mtungi.

Ushauri wenu
 
Kama ni kweli baadhi ya wanawake tuna shida aisee kwani huwa hatujui kuwaza mbali sababu kumfanya mwanaume wa watu hivyo. Daahh.

Nawaza tu ikija kutokea huyo dada amekufa hivyo huyo jamaa atakuwa ndio basi tena ama?
 
Inaonekana upo tofauti .labda nikulize je ikiwa mama yako kamtenda hivi baba yako utafanyaje?
 
unamfunga mumeo kwaajili yako au unamfunga asiende nje? huyo ana akili? daaaa yajayo........
 
imemtokea ndugu yangu wa dam kabisa na ikapelekea kuvunjika kwa ndoa ila tunamshkuru sana babu wa ismani
 
Back
Top Bottom