Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni kijana wa miaka 26 ni muhitimu wa chuo, nimejiajiri natafuta msichana aliyeserious katika mahusiano, Vigezo. mcha mungu, bila kujali ni msichana au single mother ili mradi awe mcha...
1 Reactions
0 Replies
950 Views
Habari za muda huu wanajamvi. Mimi nina mke na watoto wawili saiv, nina umri wa miaka 35 na mke wangu ana umri wa miaka 30 kwa sasa. Mwaka jana nilipata scolarship ya kwenda nje ya nchi (ulaya)...
3 Reactions
169 Replies
12K Views
Korokoroni/Mlinzi mmoja alikuwa ana tabia ya kumtafuna mke wa mtu kiroho mbaya kila asubuhi akitokea lindoni. Mume wa huyo mama alikuwa kila asubuhi huenda kazini na kumwacha mke wake ambaye ni...
8 Reactions
51 Replies
6K Views
Habarin za jion wapendwa Naomben mnisaidie mawazo Ninamchumba wangu tuna mwaka na nusu tumeshamaliza taratibu zote mpaka mahari ameshatoa....mwanzo tulipanga tufunge ndoa mwezi wa 10nimekaaa...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Pindi mwanaume anapofumania mkewe au kuhisi anamahusiano nje ya ndoa zipo hatua mbalimbali aambazo baadhi ya wanaume wamechukua hapa ni chache tuu unaweza ongeza za kwako: a) alipofumania...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ya Asubuhi Wadau, Hongereni Na Poleni kwa Mihangaiko. Niende kwenye Mada Yangu Moja Kwa Moja, Nina Mpenzi Wangu Ambae tupo Kwenye Mahusiano kama Mwaka Mmoja Na Miezi Mitatu, Nampenda...
4 Reactions
95 Replies
7K Views
Naleta uzi huu kwenu wakuu naomba mnisaidie. Mimi nilimpenda binti mmoja hapa Dar es Salaam nikataka kumuoa ikabidi nifuate taratibu zote kama kawaida lakini mahari mzee baba milion 5 nami naishi...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Ujira wa usaliti ni aibu kubwa! Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Baba Anorld almaarufu Ngosha, amedai kumfumania laivu mkewe, Anjela ‘Mama Anorld’ akiwa chumbani na shemeji yake aliyetajwa kwa...
1 Reactions
48 Replies
13K Views
Salaam zenu wana jamvi, mama mmoja mwenye rangi ya kimanga ahonga uroda kituo cha polisi baada ya mwanae kufanya tukio. Mwanae huyo alliba mbuzi wa Eid na wahuni wakamtia mkononi alimanusra wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ebwana leo katika pitapita zangu asubuhi nikielekea kwenye kitengo changu cha kutafta rizki ghafla nkamuona mtoto mkalii body hiloo anakuja kwa mbele. Mtu mzima nikajipanga kwa mashambulizi mara...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
acha kujitia tia basi utazani duniani yko mmoja. Acha kupoteza mda tembea mbele tafuta mwingine mlishindwa nini sasa ndio mtawezana? au amebadilika nn ni yule yule hawez badikika hyo
0 Reactions
6 Replies
734 Views
Hivi Karibuni (nearly two weeks back) nimeanza kuwa 'nasoma soma' Biblia kimtindo ili tu kujifunza maandiko yanaagiza/yanasema nini. Ofkoz I am not knowledgeable na mambo za Maandiko, just to say...
5 Reactions
59 Replies
6K Views
Habari wakuu,kuna jambo limenitatiza japo kwa wengine inaweza kuwa rahisi kulingana na asili ya mazingira waliokulia.Kwa ufupi nina mchumba tumeahidia kuishi pamoja hapo baadae,tatizo limekuja...
3 Reactions
103 Replies
20K Views
Kwa kifupi,wanapenda mpaka inapitiliza,msala upo akikuona na demu mwingine, mtaa mzima watajua!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Unajua hapa duniani kuna vitu haviepukiki ni kama kifo vile lakini hakuna mtu aliekufa.
0 Reactions
7 Replies
924 Views
Heshma kwenu wakuu Kama kichwa kinavyojiekeza .rafiki yangu amenishangaza sana huu ni mwezi kama watatu ananambia anataka azae na kichaa.Nashindwa kumuelewa anania gani . Kwa kuuliza wakuu...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Hello MMU, Tafadhali husika na heading hapo juu Iko hivi, kitabibu stress is number one cause of most human tragedy including death. Stress husababisha magonjwa ya moyo, pressure, kisukari...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Zamani majina ya kilugha yalikuwa ni commonplace, ndo maana watu wengi middle name na surname zao ni majina ya kilugha. Ila kadri siku zinavoenda, kutokana na utandawazi na mambo mengine, trend ya...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Pindi mwanaume anapofumania mkewe au kuhisi anamahusiano nje ya ndoa zipo hatua mbalimbali aambazo baadhi ya wanaume wamechukua hapa ni chache tuu unaweza ongeza za kwako: a) alipofumania...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ilikuwa mwaka 2013 ndo kwanza nimemaliza form 4 shule ya kata. Nikaenda zangu Malawi apo mzuzu wabongo tunapendwa sana Malawi. Basi nikajipatia kimwana, ukimwambia chachani pa bed fastar unapewa...
1 Reactions
185 Replies
21K Views
Back
Top Bottom