Ni maamuzi gani mazuri ya kuchukua ukimjua mtu anayetembea na mkeo?

uduzungwa

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
552
541
Nimewaza tu kwa sauti.

Endapo utamjua mwanaume anayetembea na mkeo, ni yapi maamuzi mazuri baina ya hawa watu wawili.

Naomba tujadili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom