Wakati si milele bandugu siku hazigandi hata siku moja kwahiyo twapaswa kuwa na subra na uvumilivu kwenye kila jambo ,mambo mengi yanaharibika kwakuwa watu wanakosa uvumilivu ,subira ...
Siku zote watu hu-dedicate nyimbo kwa their current lover, ila leo lets do something different. Jaribu kudedicate nyimbo kwa your ex. Wether uta-dedicate kwa mmoja, wengi au baadhi yao, ni wewe...
Moja ya kosa ambalo sitalifanya maishani mwangu. Unampiga hapo, mwenzio anatoka kapaniki na ma-stress yake anakutana na kajamaa hela hakana ila kanazurura mjini na chupa ya salimia ya kuchua...
Naitwa Saida Issa ni mkazi wa dar es salaam nina umri wa miaka32 nahitaji mume wa kunioa awe muislam kwa yeyote atakayekua tayari awasiliane na mimi kwa nambari 0653708874
Mara nyingi watu hu-associate wimbo fulani na tukio fulani au mtu fulani.
Hivyo hivyo kwenye mapenzi unakuta mtu akisikia wimbo fulani labda anakumbuka dedication aliotumiwa na mpenzi wake...
Tarhe 16 october 2018 nakuwa mtu mzma kwa urasimi. Natimia miaka 18.Ebu nimpen ushauri nfanye nn kuelekea safar yng ya utuziman. nfanye nn ili nwe na safar njema? asanten sna
Wanawake wengi wanaopata ujauzito na kutaka kushusha injini wanaangukia katika mawazo mgando na wengine kiafya.
Wanawake wengi kwanza hufikiria hivi:
1.Jamii itamuonaje amepata ujauzito kabla ya...
Aman iwe nanyi
Inaniuma sana aisee yaan kuna manz nimemufukuzia kwa mda wa miez sita sasa bila mafanikio lakin cha ajabu leo nimemkuta anajiuza hapa sinza mor kwa bei chee kabisa ya elf tano...
1.Ukiona umejipiga selfie au hata picha yoyote ukaiweka kwenye facebook na
kutag watu mia ukapata likes mbili tu ni dalili ya wazi kuwa we mbayaaa.
2.Ukiona wakaka wanapenda sana kampani yako...
MNYAMA NDANI YANGU!
SEHEMU YA KWANZA
Na Nira Saire
Ilikuwa ni siku ya Alhamis majira ya saa nne za asubuhi nikiwa darasani nikisoma na wanafunzi wenzangu, mara hali yangu kiafya ikaanza...
Msichana wa ukweli ni yule anayependa care yako na uwezo wako. Msichana aliye haribika ni yule anayependa pesa zako kuwa makini kwa chaguo lako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za weekend
Eti Patriot man umechukua nafasi kubwa ndani ya mtima wa moyo wangu kuliko ata boyfriend wangu.
Hii kauli imenistua kwelii..
Kumbe unaweza ukawa na mahusiano na mwanamke mawazo...
Huyu Mungu wacha aitwe Mungu hakika hanaga upendeleo wa 100%. Hakuna kitu alichokifanya kwa upendeleo kwa asilimia mia na ndio maana kuna matajiri na maskini, wazuri na wabaya, weusi na weupe wote...
Aman iwe nanyi waungwana
Kuna manz mmoja fulan hivi ni dem wangu kama kwa mda wa week tatu hivi yaan tumedum kwenye uchumba kwa week tatu sasa lakin alichonifanyia sijakielewa kabisa aisee
Juz...
Embu niambieni bandugu mnapendelea mwanamke wa aina gani kati ya hawa unapotongoza?
1) Yule ambaye anakukatalia na kujibu kashfa na matusi huku akifoka unapomtongoza?
2) Msumbufu na umempata...
We endelea kulala style ya mende anaye kufa, huku ukijiliza kama mtoto aliyenyimwa pipi utaachwa mpk shetani akushangae.
Vitoto vidogo vitakuwa vimaolewa wewe utaendelea kujipaka kila aina ya...
Hakuna kitu kinaitwa single maza.ni single parent.eti ukizaa kama hujaolewa unaitwa single maza.kwani ukiolewa unakuwa double maza?
Kulea ni kulea tu uwe na ndoa au single wajibu wa mzazi kwa...
Asee niaje wana. Achana na hiyo heading, soma content.
Hapa naongea na vijana wenzangu masingle boy mabachelor kama mimi. Excuse my language naandika kisela zaidi.
Vijana tuna mambo yetu. Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.