Napata wasiwasi na mchumba wangu aendae chuo kikuu

Napata wasiwasi na mchumba wangu aendae chuo kikuu

Subiri tuu ndugu hakuna haraka

Mwenzio najuta kuoa kipindi hiki cha ******** maana mtoto nitakayempata awamu hii sijui atachukua tabia za kina-bashite nafikiria sana

Natamani tuzae baada ya huyu mtu kutoka madarakani ila haiwezekani nimeshaoa

Subiri ndugu yangu utaoa tuu
 
Hapo huna mchumba tena kijana, wakisha enda chuo andika maumivu..

Hubadilika tabia pindi wafikapo chuo yaani ataenda kukutana na wenye hadhi kubwa na vishawishi vya hapa na pale........

Labla kama wewe unafanya kazi BOT, na Baba yako ni mmiliki wa Oilcom na Mama yako anafanya kazi Bank ya dunia hapo ndiyo hatakusaliti hata kidogo.....


Otherwise jiandae kwa msiba.....
 
Angalia status yako kama we ni muuza andazi afu kitandani hauko fresh tegemea kuachwa

blame no body
 
Unakoelekea lile neno #ningejua# litakuhusu..........watu wakifika huko si mchezo bhana na akili zinakua kichuochuo

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom