Ni kwanini wanawake wanakuwa na wivu??

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,637
4,521
Albert Einstein alipata kusema kuwa "If you want to understand life,look deep into nature" Sasa unapoangalia katika viumbe hai wote hakuna kiumbe jike hata mmoja mwenye wivu. Wivu wa wanawake hawa unatoka wapi. Wanalinda nini? Kimsingi wivu wa mwanaume unasababishwa na asili ya kila mwanaume kutaka kusambaza genes zake na kuzalisha uzao wake. Mwanaume anajawa na hofu kwamba mke wake atakapochepuka kunakuwa na uwezekano wa kulea mtoto asiye wa kwake. Sasa swali nalojiuliza ni kuwa hawa wapinzani wetu wanakuwa na wivu wa nini wakati hawana cha kupoteza?
 
Nachojua mimi ni kuwa wanawake hawakuumbwa kuwa na wivu. Ila wamekuwa wasumbufu balaa.
 
Ni roho mbaya tu zinawasumbua wanawake wengi hawapendi wanawake wenzao wapate kile walicho nacho

Na sisi wanaume kwakua hatujajaliwa roho mbaya tunatoa misaada kwa kutumia mbinu za kijeshi ikiwemo ile ya hit and run!
hizo ni mbinu za jeshi gani mkuu?
 
Mi sinaga wivu nilishaachaga siku nyingii. Wee nenda mradi tuu urudi msafi.

Ila sharti lake na mie usinoonee wivu.
Hahaaaa hapo mwisho umeharibu sasa. Mwanaume kaumbwa kumuonea wivu mkewe. We mtazame hata jogoo alivyo..
 
Wivu ni laana.kwa kosa la kutotii maagizo ya Mungu .
"Nitakuongezea uchungu katika kuzaa nawe utakuwa na wivu kwa mumeo"

Wanaume tusipambane Na maana ya Mungu
 
Wivu ni laana.kwa kosa la kutotii maagizo ya Mungu .
"Nitakuongezea uchungu katika kuzaa nawe utakuwa na wivu kwa mumeo"

Wanaume tusipambane Na maana ya Mungu
Hapa umemaliza mangi....thread closed.
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Bibi yangu hakua na wivu alimruhusu mumwewake aoe wake wawil na yeye watatu nataman ningekua nahiyo roho yake ila ndohivyo cjajaliwa
 
Back
Top Bottom