Ni sahihi mwenye nyumba kudhibiti mahusiano ya mpangaji wake?

Ketoka

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
1,087
1,913
Kuna baadhi ya wamiliki wa nyumba hasa maeneo ya mjini kudhibiti wapangaji wao wawapo kwenye mahusiano
Mfano

Kama kijana anakuwa na mahusiano wa wanawake wengi,baba au mama mwenye nyumba hugomba,na hutaka awe na mwanamke mmoja ambaye anapaswa ajulikane kwao na marufuku mwanamke mwingine kwenda kwa kijana huyo

Vivyo hivyo kwa mwanamke anapokuwa analeta wanaume tofauti tofauti,mwenye nyumba hugomba na humtaka mwanamke huyo awe na mwanaume mmoja

Kwa nini udhibitiwe na huku ni starehe yake na huku unalipa kodi?

Kwa nini wengi wao wanataka umtambulishe kwao boyfriend au girlfriend wako?

Ni sahihi mwenye nyumba akudhibiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijajua mkataba unasemaje, kama lipo kwenye mkataba huwezi kukiuka.

Lakini kwa maoni yangu mwenye nyumba ni busara kuangalia kodi na usalama wa nyumba yake,mahusiano sidhani kama ni muhimu kwake,labda kama kuna dalili za tishio kwa wapangaji wenzako na nyumba yake.

Nashangaa mwenye nyumba anahoji idadi ya wanawake ulionao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wenyekaya wa hivyo wanakuaga wachawi tu
Kuna baadhi ya wamiliki wa nyumba hasa maeneo ya mjini kudhibiti wapangaji wao wawapo kwenye mahusiano
Mfano

Kama kijana anakuwa na mahusiano wa wanawake wengi,baba au mama mwenye nyumba hugomba,na hutaka awe na mwanamke mmoja ambaye anapaswa ajulikane kwao na marufuku mwanamke mwingine kwenda kwa kijana huyo

Vivyo hivyo kwa mwanamke anapokuwa analeta wanaume tofauti tofauti,mwenye nyumba hugomba na humtaka mwanamke huyo awe na mwanaume mmoja

Kwa nini udhibitiwe na huku ni starehe yake na huku unalipa kodi?

Kwa nini wengi wao wanataka umtambulishe kwao boyfriend au girlfriend wako?

Ni sahihi mwenye nyumba akudhibiti?

Sent using Jamii Forums mobile app
wenyekaya wa hivyo wanakuaga wachawi tu
 
Nyumba ya kupanga sio guest au danguro unapo inguza wanawake wa kila haina kwa mama au baba mwenye nyumba uko ni kumvunjia heshima kwenye mipaka yake. , Otherwise panga chumba kwenye nyumba ambayo haishi hapo mwenye nyumba ndo utakua free ( Uhuru wa manyani ) uviyombeee mpaka mboo ichubuke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom