Habari zenyu mabibi na mabwana....
Hapo zamani za kale aliumbwa Adam inasemekana ndio kiumbe wa kwanza then Muumba akaona huyu jamaa yupo mpweke tumfanyie mwanamke hapo akapatikana bi Hawa...
wana Mmu! habari
tafiti zinaonesha kwenye mahusiano mengi wanaume ndio wanaongoza kuvunja uaminifu wa mahusiano kwasababu ya matamanio, yani nikimaanisha mwanaume anaweza akawa kwa mahusiano na...
Ukiwa Afrika na unataka kupata pesa wahubiri Utajiri a siri za kula takataka waishi bila kufa...Hapa utawapata wengi sana.
Ila usiwaambie kwa habari.kuwa Afya yako haijengwi kwa dawa za Dukani...
Nadhani kila mtu hasa wasomi (wahitimu) wanandoto za kuoa na kuolewa labda na msomi mwenza au raia mwingine tu wa kitaa (BIG UP). Napenda kutoa mtazamo tu juu ya hili, usikurupuke na kufuata...
Wakuu, ni jambo la kawaida sana kwa wapenzi au wanandoa kugombana au kuingia katika mgogoro kwa sababu yoyote ile. Migogoro katika mahusiano huleta msongo wa mawazo . Wengine kama hawatapata...
Wakuu hakuna kitu kinanikera kama mtu kujinunisha pasipo sababu ya msingi...
Sasa huyu mke wangu mnaweza mkaamka asubuh vizur tu mnacheka ila baada ya muda atanuna tu hata ukimuongelesha...
Yalimkuta rafiki yangu, alikutana na mchumba Ujerumani wakiwa masomoni. Wote wawili wakiwa ni Wasambaa wa Lushoto. Baada ya wote kufahamishana kwa wazazi, wazazi wa mvulana walikwenda...
Neno mama lina maana nyingi sana katika maisha yangu,nikianza kipindi nipo mtoto,mama yangu hukuishi na furaha kwani furaha yako ilitoka kwangu.nilipocheka nawe ulicheka pia,ila nilipolia uliumiza...
Wadau,
Mwanaume rijali yeyote kikawaida hawezi asilan abadan akabaki na mwanamke mmoja tu. Maana kimsingi mwanamke anaingia katika siku zake, sometimes anaingia katia kipindi cha kujifungua na...
Hivi kuna ukweli kwamba ukianza kutembea na mtu aliekuzidi umri utaendelea kukutana na wadizaini hiyo tu? kwa maana nakumbuka miaka kama 6 iliopita nilifanya mapenzi na mama wa wa miaka 34 wakati...
MAKOSA YA MWANAUME YANAYOSABABISHA MKE AMSALITI
Kuna sababu anuai zinazomfanya mwanamke amsaliti mumewe. Ni muhimu kutambua kuwa mwanamke ni kiumbe mwenye hisia kali na daima ahisi raha na...
We MSICHANA fikiria Mara 2 kabla hujamkataa mwanaume.
Idadi ya watu duniani =7.8 billion
Wanawake = 5.6 billion
Wanaumme =2.2 billion
Kati ya wanaumme 2.2 billion
1 billion= wameshaoa tayari...
Habari wakuu,,
Huyu Dada nimetokea kuzoeana nae ni miezi sita sasa imepita sijawahi mtongoza ila maisha ninayoishi nae kama tupo kwenye mahusiano na hivyo ndivyo tujuavyo
Kilichonileta hapa wiki...
Mapenzi/mahusiano yanapendeza pale mnapokuwa karibu.
Ila sometimes unakuta either umepata mtu au mpenzi/mke/mume wako yuko eneo mbali na ulilopo, kwa sababu moja ama nyingine. Inaweza ikawa yupo...
Ndugu na marafiki zangu naombeni tubadilishane mawazo katika hili katika familia yangu hakujawahi kuwa na umuhimu wowote ule wa siku hii ya kuzaliwa, kuanzia kwa wazazi mpaka mimi na ndugu zangu...
Nimeamini Leo ,
Habari ya muda huu wana Jamvi kuna mama nilikuwa naye .kwenye mmmahusiano. Nmelala.naye Mara 2 Jana kaniita ,akaniambia ,Nina mimba. Lakini sijui ni yanani,maana mko wanaume...
Hellow wana JF jukwaa la MMU,
Mwenzenu sasa ni kijana mkubwa, umri miaka 29 nimechoka kukaa peke yangu, i need to have someone we can cherish this life together.
Mwenzenu sitafuti mpenzi tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.