Tabia ya wanawake kununa nuna bila sababu...

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
16,491
Reaction score
38,393
Wakuu hakuna kitu kinanikera kama mtu kujinunisha pasipo sababu ya msingi...
Sasa huyu mke wangu mnaweza mkaamka asubuh vizur tu mnacheka ila baada ya muda atanuna tu hata ukimuongelesha hajibu....
Kiukweli huwa nakereka sana...
Ebu tupeane uzoefu wakuu hii tabia mnaikomesha vipi??
 
Mkuu niliwahi kuwa na bint mzuri sana na nikaenda mpaka kuishi nae Mozambique ila nilimuacha kwa sababu hyo yaani kwa kununa ye ndo chronic! Anaweza akanuna siku 7 kisa tu kaota ndoto amekufumania!!
 
Dah kazi sana kuishi na hawa watu..
 
It's an attention seeking behaviour, it shows a failure to communicate. Hii ina-apply kwa gender zote
Mwambie its a bad habit, kama kuna jambo in her mind, akwambie instead of resorting to silent treatment. You are not a mind reader
 
Halafu ogopa sasa wale wanajifanya makauzu kwa wake zao humu JF, ndo hawafai kabisa.

Akiwa JF anajifanya kauzu kwa mke wake, ila akirudi nyumbani anapigwa masingi na vibao kama mtoto, na ata deki, kufua mpaka kuosha viombo.
 
It's an attention seeking behaviour, it shows a failure to communicate. Hii ina-apply kwa gender zote
Mwambie its a bad habit, kama kuna jambo in her mind, akwambie instead of resorting to silent treatment. You are not a mind reader
It's more than advice
 
MKUU BANA HAO NDO WAKO HIVYO SIKU ZOTE,KITU KIDOGO TU MWANAMKE ANANUNA.
Dawa ni moja akinuna na wewe nuna ataanza kukusemesha tu.Akicheka na wewe cheka
 
Si ndo atanuna zaidi...
Hanuni ndio atatia akili atajua kosa lake,wifi yangu alikua nayo tabia hiyo ya kununa hata akija nyumbani na mumewe atacheka vizuri mara ghafla unamuona kabadilika sasa uzuri Bro hua na mtu mcheshi sana, akawa anamwambia wewe vp unanini?
aaaaaaaaaah sina lolote mood, aliposikia mume anaoa na akamuuliza why unaona mke kwani mimi nna kasoro gani?
Bro kamwambia mke wangu uko sawa sehemu nyingi ila pale pazuri zaidi ndio huna,ambayo ni tabasamu ..
 
It's an attention seeking behaviour, it shows a failure to communicate. Hii ina-apply kwa gender zote
Mwambie its a bad habit, kama kuna jambo in her mind, akwambie instead of resorting to silent treatment. You are not a mind reader
True mkuu
 
MKUU BANA HAO NDO WAKO HIVYO SIKU ZOTE,KITU KIDOGO TU MWANAMKE ANANUNA.
Dawa ni moja akinuna na wewe nuna ataanza kukusemesha tu.Akicheka na wewe cheka
Unashindana na mwanamke?
 
It's an attention seeking behaviour, it shows a failure to communicate. Hii ina-apply kwa gender zote
Mwambie its a bad habit, kama kuna jambo in her mind, akwambie instead of resorting to silent treatment. You are not a mind reader
Dam right. Tena amwambie awe straight aseme.. hamna ana muda wa kubembeleza mtu mzima ambae hataki kusema kinacho msumbua
 
Wakuu hakuna kitu kinanikera kama mtu kujinunisha pasipo sababu ya msingi...
Sasa huyu mke wangu mnaweza mkaamka asubuh vizur tu mnacheka ila baada ya muda atanuna tu hata ukimuongelesha hajibu....
Kiukweli huwa nakereka sana...
Ebu tupeane uzoefu wakuu hii tabia mnaikomesha vipi??
Mwanamke ni zaidi ya umjuavyo
 
Wanapenda kubembelezwa, kumsifia sifia na uchokozi. Kwa hiyo usimkasirikie ndo pozi lake hilo.

Jinsi ya kuiondoa hiyo hali.

1. Mwambie napenda kukuona una tabasamu, unapendeza sana nikiliona tabasamu lako.

2. Piga nae picha (selfie) mwambie smiiileee

3. Mletee zawadi kwa kumwambia nakuahidi ukinipa tabasamu nakuletea zawadi.

4. Mwambie maneno mazuri mazuri ya kumvutia na kumsifia uzuri wake. Kama kuna tabia hazipendi kutoka kwako sibadilishe ili afurahi

5. Mpigishe stori za vichekesho (uwe kama comedian), mtumie msg za vichekesho, angalia nae vipindi au muvi za vichekesho
 
Back
Top Bottom