Kwa malaya yeyote anaejijua yupo moshi ajiandae kukiona cha mtemakuni.
Hii ni aibu kubwa kwa kinadada au kinamama wa moshi.katika ziara zangu za hapa na pale niliona mambo ya ajabu mpaka nililia...
Kuna watu wanadanganyana kuwa uzuri wa mwanamke ni tabia, huu ni uongo mkubwa.
Hakuna mwanaume asiependa mwanamke mzuri. Toka enzi na enzi hakuna mwanaume asiependa mwanamke mzuri wa umbile...
Habari wakuu,
Naomba tupeane experience kidogo kuhusu Wavulana kutolewa bikra.
Inaaminika kwa Tanzania, wasicha zaidi ya miaka 18 hadi 26, ndio wanao wafundisha watoto wa kiume wa miaka 14 hadi...
Heshima kwenu wakuu,
Leo naomba niwashauri wale ambao hawajaoa.
Hii ni siri ya kambi namba mbili.
Usifanye ngono na mwanamke unayetaka kumuoa kama kweli unataka kuwa na familia bora yenye...
JIHADHARI SANA NA DHAMBI ZA NGONO. ATHARI YAKE NI KUBWA SANA..
“Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake...
Leo nimekuja na mada inayozungumzia maisha halisi ya kiumeni(gheto), kwa wale wanaume tuliobahatika kujitegemea na kuendesha maisha yetu huku tukiendelea kutafuta wenza wa maisha.
Niende moja kwa...
Mara nyingi nikiwa nimekaa maskani kuna kauli naisikia sana anaweza kupita mwanamke ukasikia watu wanaambiana chini chini uyo mwanamke anayepita hapo golikipa katoka kuna yeyote anayejua maana ya...
MAUMBILE YA TOTOZ NA TABIA ZAO
1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao.
2. Warefu hawawajali wapenzi wao na hawaogopi uhusiano kuvunjia kifupi hawajui...
Ikitokea rafiki ako kaachana na mpenzi wake na wewe ulikuwa unajua ni wapenzi...!! Lakini umetokea kumpenda huyo mdada kwa wanaume au mkaka kwa wanawake je ni sahihi kutoka nae na wew!?? Kama si...
Amani ya Bwana iwe nanyi wana jukwaa la MMU,
Nielekee kwenye mada, kuna binti anakaa kwa mama akee mdogo ambapo ni jirani na sisi, japo Mimi nipo mbali kidogo na nyumbani
Nimebahatika kupata...
#inasikitisha sana[emoji32]
Mke alimhisi mmewe kuwa anatembea na housegirl wao, hii ni kutokana na ukweli kuwa housegirl alikuwa mzuri mno kimuonekano, umbo na sura, alifikiri kumfukuza ila mme...
Salaam Wakuu.
Mimi nilikuwa naishi na mwanamke, tumefanikiwa kupata mtoto mmoja. Sasa imefika hatua tunataka kutengana tuende mahakamani.
Hatujafunga ndoa yoyote, mimi ni mtumishi wa umma mke...
Yahitaji moyo wa chuma,
Yahitaji kiwango kikubwa cha uvumilivu, yahitaju busara ya hali ya juu.
Ni Mwanajeshi (Private) rafiki yangu na Schoolmate wangu. Ndoa yake ina miaka miwili.
Ni mtu wangu...
Hey members wa MMU...
Nikizungumzia maisha ya uswahilini nazungumzia wakazi wenye vipato vya kati na chini...wengi wao wakiwa katika maeneo ya nyumba zenye msongamano mkubwa,vurugu za kila...
Kuna kijana mmoja mwenye 'nafasi' yake nzuri tu, yaani kazi nzuri na kipato si haba, kwa sasa anaenda miaka 35...anaomba ushauri aoe yupi, kati ya binti aliyelelewa na kukulia kijijini dhidi ya...
1. Ukisusa Wenzako twala
2. Duniani hakuna Siri
3. Mjinga wakati wa kwenda wakurudi ni Mwerevu
4. Tutabanana hapa hapa
5. Wajibika usiibiwe
6. Shamba kila Mtu analo ila Ulimaji unatofautiana
7...
Habari wandugu nimefanya uchunguzi Mdogo Tu,kwa social network kama facebook, tango, badoo na nyinginezo
Hizi huongoza kwa mapepo yanii ni chanzo kikubwa cha umalaya, roho za kipepo, na kila aina...
Kama mada inavyojieleza
Nauliza inakuaje wewe mwanaume kamili rijali unakaa na kuanza kusikiliza nyimbo za taarabu??
Wakati nimesimama pale mataa ya Buzuruga naskia music mnene wa taarabu kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.