The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
Hi
Jamani nimechoka kupigwa mizinga na wanaume. Tuseme ukweli nikulishe, nikuvishe, nilipie hadi lodge, mimi kama mwanamke nitakuheshimu kweli?
Wanaume badilikeni coz hakuna mwanamke anapenda kuhudumia mwanaume, kamwe!
Sisi wanawake tumeumbwa kupokea na siyo kutoa. Mimi usinipe hela yako ila pia usiniombe hela pulizzz.
Ni aibuuuu, wanaume sijui wamekuwaje siku hizi. Siwezi kukuheshimu kama nakulisha.
Wengi mtapinga ila ni kweli mwanamke anayemhudumia mwanaume hawezi mweshimu kamwe. Oneni Lady Jaydee, Flora Mbasha ndoa zilifeli kwakuwa waume walikuwa marioo.
Badilikeni