Kwenye mapenzi kuna uongo mwingi, uongo mwingine ni simple na harmless. Ila kuna uongo mwingine mtu anakudanganya mpaka kuja kushtuka unakuta kushakucha.
So ni uongo gani ulishawaidanganywa au...
Wakuu ni kamanzi kangu ka mechi za kirafiki kwenye mahusiano huwa tuko open hatuna wivu,sasa toka nimtie mtaji wa kagrocery anasema atanipa bata kama zawadi .
Mbona natetemeka kwenda isijekuwa vya...
Habari za humu
Natafuta mume mwenye sifa zifuatazo
Umri 27-34
Elimu si kigenzo cha mume bora
Pesa inatafutwa
Dini muhimu kuwa mkristo safi
Kingezo kikubwa na cha Muhimu Mcha Mungu na Mwenye...
Habari
Natafuta Mke ambaye atakuwa tayari kuishi na Mimi marekani, sichagui kabila wala dini Bali ningependa mwanamke huyo awe na sifa zifuatazo :-
1.awe msafi
2.awe mrefu kiasi
3.awe na chura...
Siti ya Nyuma kabisa kwenye Costa ya Kibamba-Mwenge alikuwepo Mtu mmoja hivi,.a man with a very serious face,komwe la ukoo, akiwa amevalia Tshirt ya njano iliyochorwa Cheni kifuani, halafu...
Mambo ajee wakuu?poleni na mihangaiko ya kujenga tz..Leo katika mishe zangu nimekutana na mrembo wangu wa enzi hizoo aliyeuteka moyo wa mie Big kaka mpaka nikashindwa kupata na usingizi yaani...
Nanukuu kama nilivyowasikia wengi wao ( namaanisha Wanawake ) wakisema ambapo siongezi wala sipunguzi kitu....." Wanaume wa siku hizi wanapalaza na kupapasa tu ila Wanaume wa zamani waliwa...
Habari za Leo.Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema..Mimi ni mdada Ila ninatatizo la kua na huruma hata mtu akinifanyia ubaya siwezi kumlipizia au hata kukata mawasiliano nae pia nakuaga...
Wakuu salama
Hapa nina furaha sana shemeji/wifi yenu kajifungua ntoto wa kiume muda mchache uliopita
Sasa kupitia nyie waungwana mnisaidie kuchagua jina zuri kwa huyu newborn baby boy
Msaada...
Mzuqa
Leo alfajir nilipokuwa nawahi mzigon nikamtokea mdada mzuri mwafrika. Akanijibu kwa ghazab hey its morning am not interest.
Nikashangaa kwani kutongonza ina muda maalum ila hawa dada zetu...
Habar wana jamii
Imemtokea jamaa yangu naishi nae jirani ambae alikutana na demu mwez mmoja uliopita,wakakubaliana kuingia kwenye mahusiano na kupeana mda wa kuachana na wale wapenzi walioanza nao...
Mabandiko kadhaa yamefanya nianzishe mada hii. Inaelekea akina kaka/baba wanadhania kuwa mzigo wa kuimarisha uhusiano ni kazi ya akina dada/mama.Wanadhani kuwa kuna vitu wakina dada/mama...
Watoto ni kama wanasayansi makinda.
Toka miezi ya mwanzo kabisa watoto hutaka kujua wanavyoweza kuathiri watu na vitu vinavyowazunguka. Kupanga-pangua vitu, kuangusha au kugonga-gonga vitoe...
Za mda huu na weekend kwa ujumla. Wakati bado natafuta mchumba/mke wa maisha hapa mwanza. Nafikilia hapo nipate mtu wa kuanza kuchat naye hapa na kabadilishana mawazo ili ikiweza kuifanya siku...
ACHA KABISA! Ni zaidi ya adhabu. Nimewahi kulala hapo Somanga ilikuwa balaa
Yaani watu hawalali usiku hapa duniani lakini funga kazi ilikuwa ni Masasi-Mtwara huko kwa
Muheshimiwa B.W.Mkapa.
Hapo...
Niliwahi kusikia kuwa wanaume hunawiri sana kipindi wake zao wananyonyesha, sijui hii ni kwasababu ya kupunguza kugegeda au huwa nao wananyonya.
Maana pia niliwahi sikia akina mama wengine...
DR LILIAN DUBE
Amepata majibu ya Kansa ya Tezi dume na Maziwa
Anashauri vijana wakiume waendelee kuwanyonya Maziwa wadada / wake zao
Na wadada kuwanyonya wanaume gololi zao
Risiti kamili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.