NI AFRIKA TU

NI AFRIKA TU

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
211
Reaction score
146
Ukiwa Afrika na unataka kupata pesa wahubiri Utajiri a siri za kula takataka waishi bila kufa...Hapa utawapata wengi sana.

Ila usiwaambie kwa habari.kuwa Afya yako haijengwi kwa dawa za Dukani wala Hosoital bali ni kujtambua kuwa

Nyama ni mbaya
Pomne ni mbaya
Simu mda mrefu ni mbaya
Kuchelewa kulala ni mbaya
Kula mahindi kila aiku ni mbaya
Kula mafuta ya kula ni.mbaya
Kufanya zinaa na wake wengi ni mbaya
Kutumia sukari nyingi ni mbaya
Kuwa na mashaka ya VVU ni mbaya
Kuwaza juu ya kesho ni mbaya
Kukaanga vyakula ni mbaya
Kutofanya mazoezi ni mbaya
Kula vidonge ni mbaya
Kukaa sana ni mbaya

Hapa watu watakusema kama kwenye comments watakavyoandika.
FB_IMG_1537292787644.jpg
 
Nguo zipo za kutosha leteni povu la kutosha
 
Ni Africa tu: Bibi akikutuma Ugoro, halafu hela ukanunua vocha na kujiunga bando ili ukere na usugue roho za wana JF.[emoji18]
Screenshot_2018-09-14-16-58-02-1.jpg
 
Back
Top Bottom