Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jaman naomba ushauri wenu... Nilikuwa na girl friend hapokei kwanza but tulikwaruzana Sana kufika kipindi akaamua kuondoka na kunitamkia mengi makali. Nilimpenda sana ila aliamua kwenda...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Najishangaa sana siku hizi Enzi zangu zile ndani ya wiki naomba namba kwa wanawake si chini ya 20 na kuanza kuwatia Mbepesi vokali,kuwatongoza Na wengi wakiingia line kwa kudai mimi ni HB sana...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Jana nilikua maeneo na bibie bas ikapigwa hii kitu,bibie akawa anaidakia dakia ikifika hyo sehem anaimba kwa tabasam,ikabid niskize kwa makin,kumbe ni upuuz mtu lahaulaa,..nkawa sjaelewa ndo bibie...
6 Reactions
40 Replies
14K Views
Naombeni kama mwenye nayo
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wana MMU husika na kichwa cha habari hapo juu hebu tupeane uzoefu maana nilikuwa nauliza hivi unapofanya mapenzi na MTU mwenye ukimwi lakini ukamuandaa vizuri na kutumia condom lakini...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Nitaeleza kwa uzoefu wangu. Nimeandika mwanamke kwasababu ambayo itajidhihirisha kwenye comments. Tutakubaliana kila mwanamke anapozaliwa anazaliwa akiwa na mapenzi ya kweli kabisa. Lakini hatua...
6 Reactions
89 Replies
9K Views
Niko sehem hapa nimekuja japo kuvuta mda kiasi. Ni sehem ambayo ni ghali kiasi ila nimejikaza Kwa vile ni sehem ya watu wengi nimejikuta nawaza tu. Kama mada inavyojieleza hapo juu. Pale mwanaume...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Ukitaka mahusiano yako yawahi kuvunjika fanya mambo haya 1. Dharau: dharau ni miongoni mwa sumu kali kabisa ambazo zaweza kuvunja na kuuwa kabisa mahusiano yako na mwenzi wako. 2. Uongo: hii ni...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba kuuliza nilipitia maelezo ya mwenzetu mwana jf kuhusu njia z uzazi wa mpango faida na hasara zake lakini kuna hasara moja sikuielewa aliposema kuwa njia ya uzazi wa mpango ya kueka njiti...
1 Reactions
3 Replies
610 Views
Husika Na Kichwa cha habari, Mimi ni kijana 30 Niko kaskazini arusha kazi zangu ni ujasiliamali natufuta mchumba wa kike miaka 20-35 sina masharti wala vigezo aliyetayari anitafute au kwa email...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nilikuwa natoka zangu mabibo kuelekea tabata balakuda mida ya jion, kufika karume nikabadili gari nikapanda daladala inayotoka mnazi mmoja kuelekea balakuda. Gari inapitia vingunguti mara kituo...
1 Reactions
92 Replies
14K Views
KOMBORA KIOTANI (VITA KUU)-1 Book 2 Boniface Birage Tone la umande lilitua kwenye paji la uso.Mwili ulikwisha shtuka dhidi ya baridi kali iliyokuwa ikifyonzwa kwenye ngozi yake na kuzama ndani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimemiss yale mapenzi ya zamani ile msichana anabeba chakula kwenye hotpot toka kwao hadi getto kwako. Kazi yako ni kula na kula 😂😂😂 Hawa madem wa siku hizi sio romantic kabisa, anachokibeba...
32 Reactions
292 Replies
18K Views
Habari ya weekend ndugu zangu, Mwenzenu najitahidi sana kuishinda dhambi ya kugegedana najalibu kujitahidi ila inapotokea nikapata demu mpya akili hua inaruka then nikisha maliza ndo akili...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habarini wakuu. Wengine huvutiwa na sura, wengine chura wa kihansi, wengine rangi na sauti. Basi ilimradi tuu mtu ajisikiavyo. Kwa upande wangu navutiwa na mwanamke mjanja sana. Yaani ninapenda...
12 Reactions
202 Replies
18K Views
Ni mwanamke ambae hatuna fyucha ya kuoana ni mzuri sana ila mambo ninayomfanyiaga tuwapo sirini nawaza kua hata mwanamke nitakaemuoa mimi nae muda huu yupo kuliwa hivyo hivyo na mwanaume ambae...
5 Reactions
37 Replies
7K Views
Habari wanajamvi Kumekuwa na malalamiko kila kukicha kuwa ndoa nyingi zinachuja ie kwa kitaalam zina decay na sijui kama zina half life wataalam watatujuza vizuri. Kwa kweli hili tatizo lipo sana...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za usiku wanajf Jana nimeachana na mume wa mtu .Trust me alinipenda sana and I did the same but just for fun. Ishu ni kuwa we we're cool and all that .Nimekuwa naye kama mwaka sasa.Tatizo...
27 Reactions
305 Replies
17K Views
Naomba nitoe ushauri kwa wanaotafuta wake ama waume, hebu tuache tabia ya kuharakisha mambo, sikia huyo mke/mume you want him to be a part of you life forever, sasa tuache tabia ya ku-skip steps...
6 Reactions
5 Replies
2K Views
Asante ni wanajamvi.Nina furaha kuliko siku zote Nmrmpata mwanamke na sasa ni mjamzito ,nmefurahi sana kwaajili yake Nmeacha uhuni ,soon naoa huyu mama, Nawasilisha Kazi njema
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom