Kwenye hili tendo sijui kuna nini

Kwenye hili tendo sijui kuna nini

Kampungapunga

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2018
Posts
313
Reaction score
1,100
Habari ya weekend ndugu zangu,

Mwenzenu najitahidi sana kuishinda dhambi ya kugegedana najalibu kujitahidi ila inapotokea nikapata demu mpya akili hua inaruka then nikisha maliza ndo akili inarudi hapo ndo nitaanza kujiuliza nimefanya nini na kwanini nimepoteza pesa yangu kwa jambo la kijinga kama hili.

Kuna wakati kabisa naona kuiacha dhambi hii kunahitajika nguvu itokayo kwa Mungu vinginevo kwa maamuzi ya kimwili kuishinda tamaa ya mwili ni vigumu sana. kila nikimaliza kufanya mapenzi hua najuta kabisa na kujiapiza kuto fanya tena ila zikisha pita siku tu najikuta nikitamani.

Msada tafadhali kwa yeyote humu ndani aliyefanikiwa kuachana na hili jambo kabisa anipe ushauri wa kufanya.

NOTE. Hata ninapoa amua kuacha utashangaa hata yule demu aliyewahi kunizungusha sana naona anajileta mwenyewe.
 
Kwa nini uache mkuu kama unafurahia tendo we endelea kuwatafuna tu kwani ni haki yao.
 
Habari ya weekend ndugu zangu,

Mwenzenu najitahidi sana kuishinda dhambi ya kugegedana najalibu kujitahidi ila inapotokea nikapata demu mpya akili hua inaruka then nikisha maliza ndo akili inarudi hapo ndo nitaanza kujiuliza nimefanya nini na kwanini nimepoteza pesa yangu kwa jambo la kijinga kama hili.

Kuna wakati kabisa naona kuiacha dhambi hii kunahitajika nguvu itokayo kwa Mungu vinginevo kwa maamuzi ya kimwili kuishinda tamaa ya mwili ni vigumu sana. kila nikimaliza kufanya mapenzi hua najuta kabisa na kujiapiza kuto fanya tena ila zikisha pita siku tu najikuta nikitamani.

Msada tafadhali kwa yeyote humu ndani aliyefanikiwa kuachana na hili jambo kabisa anipe ushauri wa kufanya.

NOTE. Hata ninapoa amua kuacha utashangaa hata yule demu aliyewahi kunizungusha sana naona anajileta mwenyewe.
Funguka Mkuu,
Unasema ukipata demu mpya kisha unasema unagundua umepoteza hela, ina maana demu wako unanunua kumgegeda?
We shida yako ni nyapu mpya kila mara?
Kama sio basi OA
 
Mkuu ukishakua na demu ambaye huna future naye pesa itatumika tu
 
Yaani unagharamikia kitu usichokihitaji baadae?
Tafuta uko na future nae weka ndani kihalali,
Gharama ndogo ndogo za Guest na kuhonga zitapungua,
Itakua Maswala ya Nyapu kwako sio vitu vya kuvizia tena
 
ushauri mzuri, asante
 
Daima ukikutana na zuri mshukuru Mungu
Na ukikutana na baya jilaumu mwenyewe.
 
Dhambi haiachwi kwa kujiwekea nadhiri yoyote ile ikiwemo kusema hutorudia.
Njoo in box nikushauri kiimani zaidi best yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom