Waume za watu acheni kuwafosi mabinti wawazalie watoto wa nje ya ndoa.

The iron batterfly

JF-Expert Member
Jul 31, 2018
1,952
2,520
Habari za usiku wanajf

Jana nimeachana na mume wa mtu .Trust me alinipenda sana and I did the same but just for fun.

Ishu ni kuwa we we're cool and all that .Nimekuwa naye kama mwaka sasa.Tatizo atachotaka yeye mie nifanye,like what if?mie najijua mchepuko tuu, sasa kutaka kunipangia masharti ya maza house hiyo vepee?

Kama miezi mi4 alianza nifoc nizae. Nikakataa. Ukizingatia jamii na huku jf mnavowaponda masingle mama.Nikajiambia nooo,Iwont do that.Mie nimeridhika na status yangu ya side chik,sina makuu,simpigii simu hovyo, simwombi hela hovyo yaani no drama at all.Ila tukihitajiana ananitafuta tunawekana sawa maisha yanaenda.

But in my mind nilikuwa namchukulia tu kama mpitaji.yes Huweziweka tumaini kwa Mume wa mtu. Kumbe mwenzangu kanogewa anataka weka makazi.

Tumekutana ananiuliza lini wanizalia mtoto?nikamjibu you have 2 kids na mkeo hawatoshi?akanijibu ,no nataka mtoto nawe.Mweehh nikaona huu usiku mzito, nikamjibu tu kama uko serious,niweke hadharani na mkeo ajue,kinyume cha hapo sizai kamwe hata ikitokea nitafanya wafanyao wanawake wengine.

Akasema hunipendi,nikamjibu nooh ila kumbuka mimi ni mchepuko tu haya uyatakayo wapaswa jadili na mkeo wa ndoa.Akaniuliza so uko serious hunizalii,kwa uso mkavu nikajibu yes,ukitaka nifanye utakalo make it officcial.

Akasema siwezi endelea kuwa kwenye mahusiano yasoeleweka purpose yake,nami nikamwambia,purpose ni starehe si kutengeneza family, for that you have to ask your wife.Nikanyanyuka nikabeba mkoba wangu nikaondoka. Waume za watu stop putting girls under pressure wawazalie halafu badae mje jf kuwatukana na kuwadhalilisha.Kumbukeni mchepuke is only for fun msipagawe.kama mnataka watoto make it officcial, wadhan mabint na wanawake hawasomi jinsi mnavyowasakama single mamas huku jf?

Tunasoma na tunaona the results.Ni mjinga tu atakuchukulia mume wa mtu serious hadi akuzalie baada ya kusoma matusi na kejel zote humu jf.
 
Habari za usiku wanajf

Jana nimeachana na mume wa mtu .Trust me alinipenda sana and I did the same but just for fun.

Ishu ni kuwa we we're cool and all that .Nimekuwa naye kama mwaka sasa.Tatizo atachotaka yeye mie nifanye,like what if?mie najijua mchepuko tuu, sasa kutaka kunipangia masharti ya maza house hiyo vepee?
Kama miezi mi4 alianza nifoc niazae.Nikakataa.Ukizingatia jamii na huku jf mnavowaponda masingle mama.Nikajiambia nooo,Iwont do that.Mie nimeridhika na status yangu ya side chik,sina makuu,simpigii simu hovyo, simwombi hela hovyo yaani no drama at all.Ila tukihitajiana ananitafuta tunawekana sawa maisha yanaenda. But in my mind nilikuwa namchukulia tu kama mpitaji.yes Huweziweka tumaini kwa Mume wa mtu. Kumbe mwenzangu kanogewa anataka weka makazi.

Tumekutana ananiuliza lini wanizalia mtoto?nikamjibu you have 2 kids na mkeo hawatoshi?akanijibu ,no nataka mtoto nawe.Mweehh nikaona huu usiku mzito, nikamjibu tu kama uko serious,niweke hadharani na mkeo ajue,kinyume cha hapo sizai kamwe hata ikitokea nitafanya wafanyao wanawake wengine.
Akasema hunipendi,nikamjibu nooh ila kumbuka mimi ni mchepuko tu haya uyatakayo wapaswa jadili na mkeo wa ndoa.Akaniuliza so uko serious hunizalii,kwa uso mkavu nikajibu yes,ukitaka nifanye utakalo make it officcial .Akasema siwezi endelea kuwa kwenye mahusiano yasoeleweka purpose yake,nami nikamwambia,purpose ni starehe si kutengeneza family, for that you have to ask your wife.Nikanyanyuka nikabeba mkoba wangu nikaondoka. Waume za watu stop putting girls under pressure wawazalie halafu badae mje jf kuwatukana na kuwadhalilisha.Kumbukeni mchepuke is only for fun msipagawe.kama mnataka watoto make it officcial, wadhan mabint na wanawake hawasomi jinsi mnavyowasakama single mamas huku jf? Tunasoma na tunaona the results.Ni mjinga tu atakuchukulia mume wa mtu serious hadi akuzalie baada ya kusoma matusi na kejel zote humu jf.
You are right.. hongera kwa kufanya maamuzi sahihi. Na kama akiondoa majeshi mie nipo kama mrithi. Tuendeleze yetu haha
 
Hahahah siwezi
Walewale tu
Mnapenda free k hamtaki majukumu
Ni msichana gani atakuwa tayari kuzalilishwa kama mobeto?
Hizo zama zishaisha
Mnayoyafanya men tunawaona na kuwastudy so tunatake actions
Hakuna kuzalishwa kizembe
You are right.. hongera kwa kufanya maamuzi sahihi. Na kama akiondoa majeshi mie nipobkama mrithi. Tuendeleze yetu haha
 
Njoo kwang mkuu niko singoo utakua peke yako ☻☻☻
Akuu staki
Ili uje unikane kama dimond alimvyomkana mobeto na mwanae?
Tunajifunza na makosa
Kamwe sichez peku
Na nikicheza peku afya ya muhusika nahakikisha nishaijua na asubuhi nakunywa p2
nikizaa nimeamua mimi siyo mtu mwenye pumbu zake anipangie
 
No... mimi ni tofaut na hao wanaopenda free K na hawapendi majukumu. Mwanamke ni mwanadamu mwenzako. Unachopenda kutendewa na wewe tenda. So siwezi fanya hivyo ka sababu nakuthamini. Karibu. Utaenjoy..

Hahahah siwezi
Walewale tu
Mnapenda free k hamtaki majukumu
Ni msichana gani atakuwa tayari kuzalilishwa kama mobeto?
Hizo zama zishaisha
Mnayoyafanya men tunawaona na kuwastudy so tunatake actions
Hakuna kuzalishwa kizembe
 
Sijawaponda nimewashauri waache kuwapressurise michupuko wawazalie halafu watoto wakija wanawaruka kimanga
Usimwamini mwanaume wa kibongo
Ni wasanii,jali afya yako,jali utu wako na zaidi zaa unapokuwa umejipanga,sio kufociwa na viborodinda
Sasa nakuwaponda kote wanaume.. omba kamaa ukiolewa mumeo akanogewa na mchepuko wake na kumkubalia kuzaa.. ndio utajua uchungu wa watu wakilala na wanaume wa watu inawaumaje.. eeeeh
 
Akuu staki
Ili uje unikane kama dimond alimvyomkana mobeto na mwanae?
Tunajifunza na makosa
Kamwe sichez peku
Na nikicheza peku afya ya muhusika nahakikisha nishaijua na asubuhi nakunywa p2
nikizaa nimeamua mimi siyo mtu mwenye pumbu zake anipangie
Usijalii peku ntavalia ndala mkuu"""" hodihodi ufanye moyo wako uwe mwepesi tuyajenge usiwe mgumu kama farao
 
Mchepuko unaojielewa, no calls...no kupiga mzinga, no kutaka commitments.....haki wote wangekuwa hivi nyumba kubwa zingefaidi, maana you just help his wife kulea mume basss.....
Angekuwa anailea ndoa jamaa asingekuja kwangu,halafu ishu ni kuwa mke alisafir akarud, akafos kuzaa mtoto wa pili wakati mumewe hajataka so ndo ananifoc nizae,kiruuu
Nimemwaga mazima apambane na family yake
 
Ndo tabia ya wanaume waliooa wanapenda Ku force uwazalie mtoto huku anakuficha, mume wa mtu ni wakustarehe naye tu akimaliza arudi kwa incubator wake ukiwa single mom anarudi kwa mkewe au new mchepuko. Kuliko kupata dhambi mbili bora kupata moja ya uzinzi na mume wa mtu
 
Yes,sema ukikaa nao muda kidogo wanaanza kujisahau na kukupa majukumu ya mke
Wanasau mchepuko is for starehe only
Waume za watu wa kitz nawaasa kama mna michepuko acheni kuwafoc wawazalie
Uzazi kwa mkeo,na starehe kwa mchepuko that's the general rule
Msiwape michepuko majukumu ya wake zenu mlowatolea mahari kwani hamna haki hiyo.
Ndo tabia ya wanaume waliooa wanapenda Ku force uwazalie mtoto huku anakuficha, mume wa mtu ni wakustarehe naye tu akimaliza arudi kwa incubator wake ukiwa single mom anarudi kwa mkewe au new mchepuko. Kuliko kupata dhambi mbili bora kupata moja ya uzinzi na mume wa mtu
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom