Hii ni safari yangu ya mapenzi..
Kidato cha pili mwaka 2004 nikiwa na soma shule fulani ya boarding ya wavulana huko kanda ya kaskazini, tulipata kupewa disco na shule moja hivi ya kike. Disco...
Kuna nyumba ina ugomvi hapa mtaani, Mke anataka talaka yake!
Kisa cha ugomvi, Jamaa alimfuma huyo mkewe akisex na mwanaume mwingine nyumbani kwake mgoni akafanikiwa kuchoropoka na Jamaa ni kama...
Ni kitu ambacho kimewahi kunitokea nikiwa katika mihangaiko yangu, na pia kitaani ninapoishi. Siku moja nilikuwa naelekea kwenye mihangaiko yangu ilikuwa asubuhi, ile nashuka tu kwenye daladala...
Hivi kwanini binadamu hatujapewa mapenzi kama walionayo mbwa? hapa duniani hakuna mnyama mwenye mapenzi ya kweli kama mbwa. kama binadamu tungepewa mapenzi kama ya mbwa Dunia ingekuwa sehemu...
Habari za siku humu wadau,.
Ninamchumba ila Jana nimekuta SMS za kimahabamahaba katika cm yake ,kimsingi sipendi kukagua cm yake bahati mbaya akasahau bila kufuta mambo yake akaniambia nimsaidie...
Naomba kuwakilisha..
Hivi hili swala la mwanaume kupiga magoti wakati wa kumvisha pete mchumba wake limetokea wapi? Nani muanzilishi wa hili swala?
Hakika nalichukia sana tena sana, mtoto wa kike...
Amani ya bwana iwe nanyi nyote. Shalom, ama baada ya salam ,
Naomba niingie kwenye kisa Mafunzo based on true story. (sitotaja majina ila natimia avatar yangu) Nimeo a simple looking wife , back...
Nilichogundua ni Vigumi sana tena sana hivi vitu viwili kufanya kazi kwa pamoja na kukupa ushirikiano wa kutosha ,
Nachomaanisha hapa matumizi ya "Moyo na "Akili"
Kimoja katika hiki kikiwa...
Linapotokea swala la kuwa wazi ktk harakati zozote za maisha hasa mahusiano mwanamke akielezea hisia zake anaonekana hajatulia?
Kwa mfano hata hapa jf mwanamke akiasema;
Ninampenda fulani usiku...
Mm ni kijana nimetokea kumpenda binti nikamweleza haja yangu akanieea tukawa wachumba, baada ya mwezi 1 akanitumia sms anadai ameshindwa kuwa na mm hivyo nichukue time, ila mm nampenda sana na...
Lol!! Nimesikitika sana
Siku hizi hapa Bongo kuna wimbi la vijana wanaooa na kuolewa
Na katika maandalizi yao ya harusi utasikia wanataka michango kiwango ni elfu 50 kwa single na 70 au laki kwa...
Picha za uchi na za ngono hazikutengenezwa kwa lengo la kukupatia burudani wala kukupatia furaha; zilikusudiwa kwa lengo la kuwaangamiza kabisa watengenezaji na watazamaji wake. Humjaza mtu husika...
Hua nikiwaza kuhusu mapenzi na maisha nachoka sana.
Mimi ni certified player, katika harakati zangu za ku play around kuna wale wanawake ambao hua nawaza toka mwanzoni labda huyu naweza kufika...
Niko Igunga Tbr ni mmoja wa watumishi wa umma katika secta ya Eimu natafuta msichana awe mchumba wangu mwenye umri usiozidi miaka 23 mshiriki wa SDA awe na taaluma yoyote
Niko serious kuliko neno...
Tinga moka kitenge tutoke mtoko,
boda kwa boda tutembee chocho kwa chocho,
tena nikichoka nibebe mimi kwako mtotoo,
ni baadhi ya mashairi kwenye wimbo mpya Maua Sama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.