"Sungura nipe karot marage sjazoea"astakafuhrai watoto kumbe wahuni hawa..maua sama iokote

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Jana nilikua maeneo na bibie bas ikapigwa hii kitu,bibie akawa anaidakia dakia ikifika hyo sehem anaimba kwa tabasam,ikabid niskize kwa makin,kumbe ni upuuz mtu lahaulaa,..nkawa sjaelewa ndo bibie kunielewesha,.

Nkatahamak ,kumbe watoto hawa wakike wahuni hiv,kina maua sama

Na mwingne yule wa ninogeshe,watoto,wahuni hawa astakafurlai
 
Back
Top Bottom