Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,332
- 10,911
Habarini wakuu.
Wengine huvutiwa na sura, wengine chura wa kihansi, wengine rangi na sauti. Basi ilimradi tuu mtu ajisikiavyo.
Kwa upande wangu navutiwa na mwanamke mjanja sana. Yaani ninapenda mwanamke mwenye ujanja ujanja wa mambo mengi. Mwanamke mjanja hujiamini sana na huongea pasi na hofu yoyote.
Sipendi mwanamke mpole mpole kama boya. Napenda jianamke lenye ukinzani. Yaani nikisema hivi loo linaliwe linanipinga ili nitumie nguvu kulazimisha jambo hilo. Sipendi vitu legevu Mimi.
Napenda mwanamke mjanja ambaye nitahisi anaweza karibia akili yangu.
wewe unavutiwa na wanawake wa aina gani?