Ungekuwa wewe ungefanya nini Kwa wadada hawa kweny daladala?

makaj

JF-Expert Member
Jul 27, 2018
318
373
Nilikuwa natoka zangu mabibo kuelekea tabata balakuda mida ya jion, kufika karume nikabadili gari nikapanda daladala inayotoka mnazi mmoja kuelekea balakuda. Gari inapitia vingunguti mara kituo kingine akapanda mdada fulan IV, ilikuwa Kama katoka kazini af yupo na ring Kwa kidole, tukawa tunasemezana jinsi usafiri ulivyo wa shida. Nyuma ya gari nikamsikia shehe mmoja akimlalamikia mwanamke mmoja kwenye gari kwamba mbona unagusa gusa , yule dada akajibu shit....... Safar ikaendelea Kwa mara nyiingine tena shehe akasikika akisema ukinigusa tena nakugonga ngum, Kwa judgement ya haraka nikaona Kama shehe mkorofi Na wengin wakaona ivo ivo. Kila mtu akawa anajiuli inawezekana vip kweny daladala msigusane? Ikabidi yule dada asogee nilipo, alafu akapita mbele yangu ko makalio yake yakawa usawa wa Maeneo yangu nyeti. Safar ikaendelea sasa kulingana na road la kule gari inaweza ikabend kweny makologesheni, sasa yule dada akawa anainama kidogo usawa Wang wa mbo* alaf anajisugua......!!! Nikamuliza vipi ? Akacheka.....mara nikmsikia akimwambia yule dada aliyenikuta nae ...et uku nyuma tumempsha balaah.Safari ikaendelea kuja kujisugua tena akakuta mimi mashine imesimama balaah. Aisee yule dada akafurahi alaf akanigeukia eti wew tulia tuli uko nyuma!!

Sasa nikajijuta nipo nyuma ya hao wadada wanapokezana kujisugua kweny eneo langu nyeti....ki ukweli nilishindwa chakufanya nikawa nacheka tu. Kibaya zaid huyu aliyekuwa analumbana Na shehe alivaa chupi Na khanga tu, Nilipata wakati mgumu Sana mpaka yule dada aliposhuka. Sasa kabla hajashuka shehe alisikika akimlalamikia yule dada, aisee yule dada akajibu shit balaah et " sababu nimekukalia kimya toka mnazi unachonifanyia, wew si unataka kunifira .. akaendelea kwamba nyie ndio michezo yenu hiyo kutomb watu kweny daladala" ili kuepusha soo ikabidi dereva afungue mziki mkubwa kweny gari. Mwisho Na Mimi nikafanya conclusion kwamba, kumbe hyu dada ndio kamkorofhisha shehe Na huenda ana michezo ya kutoa nyuma....Maana nae shehe alimtia shit yule dada Kwa " nyie mnatega watu ili wawanunue Kwa buku tatu."

Kwa vituo vya hawa wadada ungekuwa wew ndio shehe ungechukua hatua gani? Na ungefanyiwa Kama mimi ungechukua hatua gani?
 
Kwani wewe uliyefanyiwa hivyo umechukua hatua gani?
Mkuu Kama upo jiji la daresalam, nina iman unaelewa jinsi usafiri wa daladala mida jion watu wanavyobanana.....kimsingi niliona aibu kulalamika Ikabid nikae kimya Na ukizingatia yule dada alishajua nime elect......alaf alikuwa anafanya maksudi!!!
 
Hilo gari gani mwanamke kapanda na chupi na kanga tu nikamripoti
Ila mmhh,we uljuaje kama ndani ya ile kanga kuna chupi tu?
Mkuu alishukia vingunguti, Kwa hiyo watu walimzoom wakagundua alivyovaa alikuwa Na khanga tu Kwa ndani chupi... alaf wakawa wanasema kumbe ni demu wa uswahilini...ndio walivo hao!!!!
 
Mkuu Kama upo jiji la daresalam, nina iman unaelewa jinsi usafiri wa daladala mida jion watu wanavyobanana.....kimsingi niliona aibu kulalamika Ikabid nikae kimya Na ukizingatia yule dada alishajua nime elect......alaf alikuwa anafanya maksudi!!!
ungemuanza tu angekuaibisha kuwa ulikuwa unambambia
 
Wewe nawe ni bwege mtozeni
Mkuu hapa jukwanni nimewai soma issue Kama hizi , kwamba zinatokeaga kweny mwendo kazi Sana.....ko Na wew inaweza kukutokea Na ukisoma vzr utagundua ilitutokea wawili kweny gari moja.....sasa ubwege unatoka wapi ?
 
Back
Top Bottom