Naomba nitoe ushauri kwa wanaotafuta wake ama waume

Davey 2017

Senior Member
Mar 24, 2017
109
133
Naomba nitoe ushauri kwa wanaotafuta wake ama waume, hebu tuache tabia ya kuharakisha mambo, sikia huyo mke/mume you want him to be a part of you life forever, sasa tuache tabia ya ku-skip steps na kukimbilia moja kwa moja kwenye mahusiano,

Kwa wanaume wenzangu, just because mmebadilishana picha na kutupiana a few chats si sababu ya kuanza kujipa nafasi ya mchumba, unatupiwa picha kadhaa na binti na unaona ana mkia, mrembo, independent una take advantage ya desperation yake na kujifanya future husband ili tu ugegede na kugegeda na kugegeda, huna nia wala hukuwa na nia ya kuoa.

Kwa Wakina dada, tunajua kuwa ukifika umri fulani ni ngumu...kubeba ujauzito....kupata mume, let alone kuwa na mwanaume anayejielewa, lakini ni bora uingie kwenye right relationship kuliko kuzama kwenye a wrong one tena haraka haraka..... sasa basi acheni kukimbiza mambo, just because wewe ni mrembo, una mkia, uko independent, mature sijui mpambanaji, sijui msomi, una hofu ya mungu, unapako kila unapokanyaga siyo kila mwanaume ambaye anajielewa anajitegemea na anahofu ya mungu lazima akutambue ulivyo na akuchumbie kuwa mume mtarajiwa, tambua Tabia za mtu kwa hatua zifwatazo....



1...Getting to know each other hata miezi mitatu
2...Getting to know each other hata miezi sita
3...Friendship, inatengeneza ukaribu na kama ana tako udenda unaanza kukutoka, hata pete utakuta mtu kaanda
4...Falling in Love + Fulfill the promises
5....Ndiyo Harakisha mambo ya kugegeda na uchumba
6...Nialike na mimi


Hebu tukue na kuacha mambo ya kisiasa kwenye mahusiano serious, kama unatafuta mume/mke mwaka wa sita hapa JamiiForums umebadili ID's mpaka admin ameamua kukupigia, fahamu unaruka hatua na siyo mapenzi ya Mungu kama unavyodhani, be the perfect person for your spouse, bring out the best of her/him kwa kumfahamu ...STOP THIS JAMENI

SIKIA WEWEEE

It is not a lack of love, but a lack of friendship that makes unhappy marriages

Hata mimi hiyo miezi sijui sita ama tisa siwezi vumilia, lkn if i want to take it to the next level, bora nifikiria alternatives lkn siyo kuharibu
 

Attachments

  • African-wedding-couple-costs-dress-suit-ring.jpg
    African-wedding-couple-costs-dress-suit-ring.jpg
    37.3 KB · Views: 63
Mawazo yako tu. Wapo wanakutana kibiashara na hapo hapo wanamalizana. Sasa,hayo mengine unayoyataja ni fikra zako,ila tambua kila mmoja ana staili yake ya kupenda. Kwana hayo yote yatakusaidia nini? Kama kunguru,hata uchunguze miaka 100.
 
Suala la mke/mume si jambo rahisi;na si kila mwanamke/mwanaume anaweza kuwa mke/mume.Jaribu kufumba macho na uashumu upo kitandani hujiwezi na unajisaidia hapo hapo;ni mtu wa aina gani anaweza kuwa msaada kwako kwa wakati huo?Nadhani umenielewa...kwa hiyo kuhusu mke/mume hatuangalii sura au muonekano wa mtu,bali ni utu.
 
Back
Top Bottom