• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Uzoefu wa matumizi ya mpira katika sexual intercourse

kalovha

kalovha

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Messages
341
Points
250
kalovha

kalovha

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2017
341 250
Habari wana MMU husika na kichwa cha habari hapo juu hebu tupeane uzoefu maana nilikuwa nauliza hivi unapofanya mapenzi na MTU mwenye ukimwi lakini ukamuandaa vizuri na kutumia condom lakini kutokana na utelezi wa mwingi Mara paap ikachomoka je hapo kuna probability ya kuwa infected .wakuu
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
49,029
Points
2,000
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
49,029 2,000
Pole...
halafu fanya ku edit umetukana.
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
35,438
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
35,438 2,000
Ngoja waje ".... ila kwa ushauri tu'' kaanze dose ya PEP mapema
 
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Messages
49,029
Points
2,000
Evelyn Salt

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2012
49,029 2,000
sorry typing error nimesharekebisha
Okay, anatumia arv? Kama anatumia upo salama asilimia kubwa, kama hatumii upo kwenye risk sana, kama umefanya ndani ya muda mfupi wahi kumeza dawa ujikinge.
 
danhosnoop

danhosnoop

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2014
Messages
2,742
Points
2,000
danhosnoop

danhosnoop

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2014
2,742 2,000
Sema mkuu una moyo mgumu balaa. Kama ulikua unajua kabisa ana ukimwi umepata wapi ujasiri wa kupiga?
 
bright platnumz

bright platnumz

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
2,750
Points
2,000
bright platnumz

bright platnumz

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
2,750 2,000
Yawezekana ili mtokea toka mwez ulee ime msumbua adi leo nd kaona atoe iyo mada iyo PEP ita msaidia nini sa
 
Starboywiz

Starboywiz

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Messages
875
Points
1,000
Starboywiz

Starboywiz

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2016
875 1,000
Inaonekana ulikua na njaa sio ya nchi hii..

Kuhusu ulichouliza mi sijui
 
Habuba

Habuba

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Messages
933
Points
1,000
Habuba

Habuba

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2015
933 1,000
Sikuizi tunaogopa kutokuwa na hela, ukimwi kama malaria tu.
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
28,566
Points
2,000
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
28,566 2,000
Kuuza mechi ndio huku sasa
 
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2018
Messages
2,926
Points
2,000
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2018
2,926 2,000
Condom sio 100% effective kwenye kuzuia HIV na STD (Magonjwa ya zinaa). Uhakika wake kuzuia ni 85% tu, hio 15% unacheza mkeka (una beti).

Sasa hio 15% ya kubeti, jumlisha % ya soxi imechomoka au imepasuka = nenda kapime kama una roho.
 
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Messages
8,771
Points
2,000
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2008
8,771 2,000
Hivi condom inatokaje? Au unalala usingizi juu ya kiuno baada ya mshindo!!??
 
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2018
Messages
2,926
Points
2,000
Alexander The Great

Alexander The Great

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2018
2,926 2,000
Hivi condom inatokaje? Au unalala usingizi juu ya kiuno baada ya mshindo!!??
Wenye vibamia hua ina kua loose, au wanao chukua oversize.

Ni sawa na kuvaa suruali Size 38, wakati kiuno chako Size 32.
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
11,498
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
11,498 2,000
Wahi hospital Utapewa dawa zianitwa PEP mzeee...!!
 

Forum statistics

Threads 1,404,596
Members 531,671
Posts 34,458,616
Top