Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanaume ndio kichwa cha nyumba, wewe unamgeuza mwanaume kuwa pet wako, kama paka au mbwa. Eti unajitolea kumtunza, kumlisha na kumvisha, hivi wewe dada ni nani hadi unaenda kinyume na agizo la...
12 Reactions
151 Replies
13K Views
Hili wala halina ubishi kwamba asilimia kubwa wale wanawake ambao kimtazamo huonekana labda mapepe,wazungumzaji sana,ndio hao wanaodumu kimahusiano,lakini wale wanaokuwa wapole sana,walioshika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi niko ndoani mwaka wa 7 sasa na katika kipindi chote hicho tumejaaliwa watoto 2 wa kike na kiume, mke ni mwajiriwa na mimi ni mfanya biashara. Tunaishi kwa amani na upendo na kwa tumefanikiwa...
13 Reactions
454 Replies
52K Views
Bibi yako mwenye umri wa miaka 95 anatakiwa kufanyiwa surgery ambayo itagharimu karibia milion 15 Na wewe benki una takribani milion 16 ambazo umeanza kuziweka tangu 2010 je utalipa..? Funguka
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ipo imani kuwa kwa kwa kuwa mume humwagia sperm mkewe,hizi huenea na kuleta kufanana.
0 Reactions
17 Replies
4K Views
SIMULIZI MAPENZI YA DHATI SEHEMU YA KWANZA “"Reshmail Manyama want to be your friend.'confirm' 'ignore' ulikuwa ni ujumbe ambao macho yangu yalikutana nao nilipofungua mtandao wa...
2 Reactions
79 Replies
61K Views
Kila uzi utakao ufungua lazima utakutana na msimuliaji akisema kua "leo wife nimemuachia gari" "nyumba yangu nitamuchia wife na watoto" mara "sijui leo nilimpa lift mchepuko mpaka kwangu Mbezi...
23 Reactions
268 Replies
20K Views
Jamii ya watanzania imekumbwa na janga kubwa la kusikitisha. Utamaduni wa kuendekeza ngono na kufanya umalaya wa kila aina kati ya wanandoa na walio kwenye mahusiano umeshamiri, unazidi kukua kila...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Mimi ni mwanaume, nimeajiriwa natafuta marafiki popote pale na wa jinsia zote. Lengo ni kubadilishana mawazo na kupeana fursa za maisha kalibuni.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Greetings! Ninaishi kwenye familia yenye wazazi wote wawili, watoto wanne, mimi nikiwa mtoto wa kwanza na ndiye wa kiume pekee. Namshukuru Mungu, kwa sasa mimi najitegemea. Changamoto kubwa ipo...
4 Reactions
159 Replies
11K Views
Aisee ilee siku napokea msg toka kwa shemeji yenu tuachane baada ya kusumbuana kwa muda mrefu sana nilionaa kama gizaa hivii afuu nikataka kudondokaa ikabdi nikaee kitandanii kwanzaa yale maumivu...
12 Reactions
204 Replies
18K Views
Jamani kama mnavyojua haya ma long distance ..Ndio nimetoka kumpokea mzee baada kuwa mbali kwa takribani miezi kadhaa, Mida ya saa mbili usiku naanda chakula mala simu inaita...naenda kupokea...
37 Reactions
158 Replies
14K Views
Hakika naamini sio mimi pekee niliyebarikiwa na post zako pamoja na michango yako humu.Umekua sehemu ya kweli ya baraka na maana halisi ya urafiki bila hata kujuana, msaada wako wa kimawazo kwangu...
8 Reactions
8 Replies
3K Views
Katika maisha ya mwanadamu kuna Kutafuta Riziki ambayo Mungu ndio hutoa lakini sometimes wanadamu wenyewe huwa tunafanyaana Fitina za wazii kabisa na kuzibiana ili watu wengine wasipate Nafasi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mtafiti mmoja huko Marekani amekuja na UTAFITI ambao kwa mujibu wake ni 99.999% kweli tupu na hata mimi katika kuangalia angalia nami nimeugundua kuwa ni kweli...
5 Reactions
239 Replies
67K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
9 Reactions
139 Replies
18K Views
Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
0 Reactions
170 Replies
18K Views
Habari wanajamvi. Miaka ya nyuma nilijipaga matumaini kuwa watu wanaomwabudu MUNGU ni safi kumbe wapi kenge nao wamo. Sisemi kwamba ni wote ila wachache watoe/exception. Sijui ni utoto au akili...
0 Reactions
3 Replies
820 Views
Back
Top Bottom