MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,801
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mtafiti mmoja huko Marekani amekuja na UTAFITI ambao kwa mujibu wake ni 99.999% kweli tupu na hata mimi katika kuangalia angalia nami nimeugundua kuwa ni kweli.
Utafiti huo unasema kwamba Wanawake WALIO na MAKALIO na MAPAJA MAKUBWA huzaa Watoto (GENIUS) wenye AKILI KUBWA kuliko wale Wanawake ambao hawana MAKALIO na mapaja makubwa ambao 100% huzaa Watoto (mangumbaru) WASIO na AKILI na ambao huja kuwa MATATIZO na KERO kubwa katika jamii.
Binafsi nimeuamini 200%, sijui wewe mwenzangu na hasa @nifah.
Nashukuru Mwenyezi Mungu Mke wangu ana SIFA zote hizo na ndiyo maana Junior wangu ANAWAKIMBIZA sana huko shuleni hadi raha.