Habari zenu wanaJF
Mimi ni mama wa watoto 2 niliobahatika kupata pamoja na mume wangu. Tumeishi pamoja kwa miaka 4 sasa.
Mume wangu ni mtumishi wa Serikali na miki nimeajiriwa sekta binafsi na...
*ikifikia mke kukusaliti kwanza unahitaji kujiuliza kuna tatizo gani mpaka akafikia kukusaliti? Mwanamke anaekupenda sio rahisi kumsaliti ampendae*
*ikitokea mkeo kakusaliti kuna kitu nyuma ya...
Mada ni self explanatory. Just tryna get a discussion going on this issue.
Maoni yako ni nini kuhusu mtu kutoa mimba, iwe kwa sababu moja au nyingine. Unakichukuliaje kitendo hicho?
Wanawake wengi huwa wanaishia kulalamikia wanaume punde tu wanapowapa miili yao kwa kujua wanapendwa alafu baada ya muda furani wanashituka kwamba walikuwa wanachezewa,
Unajua wanaume tunapenda...
Inauma sana pale ambapo unajua fika kwamba wewe na mume au mke wako hamna shida wala matatizo baina yenu ila mzazi wako au wazazi wako au wazazi wamwenzako ndio wamekuwa mwiba wa mchongoma kwenye...
Wengi mpaka sasa mtakuwa mmepitia mahusiano mbalimbali na angalau mna ka-experience kakutosha ukilinganisha na ulivokuwa unaanza. So kama ungeweza kurudi nyuma na kujipa ushauri kuhusu mahusiano...
Hivi ndivyo ambavyo mdudu simu na technolojia imetukamata na hatuwezikuona chochote chamaana, sio marafiki sio watoto sio mke au mume sio muda wako mwenyewe. Masaa yote, dakika zote na sekunde...
Niende moja kwa moja kwenye mada, Jamani hii tabia ya sisi wanaume au hata wanaweke walio olewa kuwa na mazoea na jinsia tofauti na mwishowe kupelekea kugegedana sio dili kabisa.
Hii imetokea...
Pongezi kwenu viumbe vya kike
Wakuite
Mama
Dada
Wife
Mchepuko
Mrupo etc
Wherever, they call u
Wewe ni wathamani sana maishani
Nikiwa frastrasted huwa natoka nje ya Nyumba nakuanza...
Nyie wachungaji endeleeni tu kufungisha ndoa. Ila kuna huyu ibilisi nimemsikia amaitwa mama Mwafrika, huko ndipo ndoa zinakwenda kusambaratikia.
Kijana, kama unataka matatizo, ruhusu mkeo akanyage...
Zamani wanawake walikuwa
wanahangaika huku na kule
kumridhisha mwanaume,wanaenda kwa waganga,
wanagombana,wanajinyenyekeza,wanahudumia kama watumwa na waliishi kwa mashaka makubwa,
Siku hizi...
Amani iwe nanyi wana JF.
Niende moja kwa moja kwenye mada, nina ndugu yangu wa Kike kwa sasa hivi ana miaka 34, miaka ya nyuma alitokea kupendwa na mwanaume mmoja, walipendana sana na lengo lao...
Watafutaji wenzangu mida ndio hii twendeni tukazisake jioni mahesabu ,tuache kulialia kuhusu mapenzi tukishazinyaka watakuja wenyewe
Mademu wakali bila pesa utaishia kuwaita shemeji tu.
ZeroIQ
Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la disuza (25), ameachiwa mtoto Doreen (8 months) na mke kutimkia kusikojulikana. Baada ya mama mtoto kutoroka mtoto huyo alipelekwa kwa Dada wa DIZO amlee...
Wanajf habarini za asubuhi.
Leo asubuhi nilipokea sms kutoka kwa mwanaJF mwenzetu Tutor B. katika ujumbe wake aliandika kuwa anaumwa sana.
Baada ya kusoma ujumbe huo nilimpigia akakata simu...
Kondomu hizo zimepewa jina Ulinzi na zinatarajiwa kusaidia katika juhudi za kupunguza kuenea kwa virusi vinavyosababisha Ukimwi.
Kitengo cha kukabiliana na maambukizi ya Ukimwi jeshini kilizindua...
Katika maisha yangu nimechezea vibuti sana mpaka sina hamu na mademu wazuri tena. Huwa napenda sana mademu weupe wenye hipsi kubwa na sura nzuri ila tatizo nikiwatokea wananitolea nje. Tangu...
Inaweza ikawa ni ajali kazini... Lakini ni wangapi wajuawo yajayo? Hapa ndio Mungu kawafumba wengi... Mwisho wa ufahamu wetu ni leo.... Mengine yote ni majaliwa
Diamond (Nasibu/Naseeb) kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.