Namzimia mume wa jirani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namzimia mume wa jirani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NOT ENOUGH, Feb 13, 2011.

 1. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jamani mimi namzimia sana mume wa jirani yangu na nimefanya kila vitimbi lakini wapi nashindwa kumtia mtegoni. Madada wenzangu naombeni mbinu zaidi.
   
 2. L

  Lady G JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  no comment
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,438
  Trophy Points: 280
  Mhhhhh!
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  una hatari wewe....mmmh
   
 5. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  then why do u comment?
   
 6. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  sijaona hatari yoyote hapo
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  sasa kwa mfano huyo mkewe akijua.....itakuwaje?
   
 8. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sijaelewa maana yakohalisi!!
  Unamaana ya Kumtamani au kumpenda?
  Kama ni kumpenda jaribu kubadilisha eneo la kufanya mapenzi na mumeo yaani badala ya Kufanya naye mapenzi nyumbani nendeni sehemu kama hoteli au hifadhili.
  Kama ni kumtamani tambua kwamba baada ya huyo utatamani mwingine baadaye mwingine na mwingine mwisho wa siku jirani zako na rafiki zako watakutambua kwa jina la MALAYA!
   
 9. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #9
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  My dear,naona umedhamiria,kama umefanya kila kitu haja respond,mpotezee,si kwamba hakuoni bali hakuhitaji,unajichoresha tu kwa tamaa ambazo una uwezo wa kuzizuia hata ukifanya bidii kidogo.....yaani mbele ya macho yake anakuona pepo fulani hivi linalotaka kumuharibia maisha yake.....mwanaume angekuwa anakutaka mbona tayari mngekuwa mbali? mtafute wa peke yako acha kuendekeza tamaa kwa wanaume wa wenzio waliotunzwa vizuri,tafuta wako mtengeneze vizuri.....you deserve your own man.....acha desperation,unaonekana kituko........

  Lakini pia waweza muuliza mkewe alimpataje kama ukiona huwezi kabisa!!!! :laugh::laugh::laugh:
   
 10. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #10
  Feb 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Preta mjini kubanana hapa
   
 11. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #11
  Feb 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Halafu Michelle wewe ni mtu wa kuni mind sana, hapa naona hujanisaidia sana sana umeniponda tu
   
 12. k

  kisukari JF-Expert Member

  #12
  Feb 13, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  mmmh,ni kweli au unatania?na kama ni kweli uliyoyaandika,sifikirii kama utapata support humu
   
 13. NOT ENOUGH

  NOT ENOUGH JF-Expert Member

  #13
  Feb 13, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 526
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Namtaka kimapenzi
   
 14. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #14
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160

  Mi ni mtu wa kuku mind kivipi mpendwa? nieleweshe then tuendelee kujadiliana.......
   
 15. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #15
  Feb 13, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  ukishampata baadae ukumbuke kurudi kutuuliza wapi wanagawa zile dawa kupungunza makali eh?
   
 16. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #16
  Feb 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  una matatizo ya akili!
  Tafuta wa kwako.
  ushindwe ktkt jina la Mola!!
   
 17. M

  Mwadilifu Member

  #17
  Feb 13, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakucfu kw kuxprec hisia zako,siach kuwacf pia wanaforum wamethibtisha wao ni ma thinka,c kila wazo na hisia znazokujia ukubaliane nalo,ondosha kabsa wazo ilo kichwan mwako
   
 18. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #18
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Watakaokupa ushaur wa kumpata,watakua wameshriki kutia doa ndoa ya jiran yako,wewe unataka cha mwenzako kwan wengne hawapo? Mwenzio juz kacharagwa viwembe vya uso,acha tamaa na usikute unalipa tu vizur,ila vitamaa vinakusumbua,au huwa hujisikii mnyegeresho unapokua na bwana mpaka uchukue mume wa mtu? Tena hata husikii uzito kuposti thread kama ii? Just be fair wewe ndo ungekua mkewe af ujue mwanamke mwngne anamtega unge feel aje?
   
 19. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #19
  Feb 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kwani ana nini ambacho mwenza wako hana..., labda tuanze kuangalia from that angle..
   
 20. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #20
  Feb 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mi nakushangaa sana wewe NOT ENOUGH hivi kweli mpaka ujigonge kihivyo kwa huyo mume wa mtu inakuwaje? Inawezekana wewe ni mchunaji tu sasa umeona labda jamaa anafanya kazi sehemu nzuri ndiyo maana unajitia kumind kumbe umemind fedha zake tu! Mimi nijuavyo asilimia kubwa ya waume za watu wanaopendwa nje ya mahusiano yao ni kwa sababu ya mkwanja na hao wanawake hujiridhisha kuwa wanaweza kuhudumiwa bila shida toka kwao.
  Kuwa mume wa mtu halafu uwe kapuku kisha omba mchezo nje tena na mtu anayekujua kama hujaambia huyo mkeo hakutoshi?
  Nina shaka na wewe kuwa ni mtu wa kupenda mastarehe na upo tayari kwa mtu yoyote yule.
  Acha ujinga, mume wa mtu sumu wewe.
   
Loading...