Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE
🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
Sanaaa
Aisee nashukuruGuDume anakusalimia sana
MmmhMkuu unaweza ukakatika mpaka miguu ikapishana lakini kama si mnyenyekevu, huna kauli nzuri swala la kuchepuka linakuwa inevitable.
HahahaAnaitwa Dayamond
Wouuuyoooooooo!
Money Penny nime-Damshi hapa uuuuwi
Akyanani kama hujui kukatika umekwishaaaa! Kila siku utakuwa unatufungulia uzi kwanini wanachepuka wanaume wapoje wanaume sijui nini mara ngoja nikaoe nchi ya jirani mara wanaume wa mkoa ndio bora .... ode mae we katika tu
Mchaga na Msukuma wamekatikaje YouTube mpaka najiuliza hii video watafungiwa au ndio wasanii hawafungiwi?!
Kiru Money Penny naanza kurikodi video mpya YouTube kwa fyuuuujooo nikikatika .. woyoooooo!
Je wewe Unajua kukatika Kitandani au unakaa kama nguzo ya mwembe? !
Ukitaka usichepukiwe na bwanako we katika tu... narudia we katika oooo!
Alafu kukatika haina cha jinsia... jinsia zote tunakatika
Ila kama utakatika kama Feni Mpya mumeo ataenda atarudi si Unajua tena mwenda tezi na omo...
NimemDamshia Mume usiku usiku kwa kukatika.. nasubiria Round ya 2..
Shikamoo Navy Kenzo sio kwa kutukatikia huku we Mmarangu wewe!
Rudia uzi nimeandika kila kituMoney Penny unaweza kukatika?
Niaje mwana?Hahahahahahh. Mane peni bhana.. Haya bhana
Hahaha
Amekatikaje sasa Hapo kiru
Yasije kuwa ni maneno tu ya kwenye karatasi kwenye hivyo viuno vyakoSanaaa
Nashukuru Mungu kwa kipaji cha kitandani
Muhahahahaha
Feni mbovu peleka kwa fundi penny
Hayo yote wenzio wanafanya bado wanaliaHayo yote ni extra tu kitu cha muhimu kwa mwanamke ni hekima na akili ya kuweza kuishi na mume wake mengine yatajiseti yenyewe
Na mumewangu atapewa na nani sa?!Nataka siku uje unipe mauno yako