Ndugu yangu Carlos The Jackal ubarikiwe sana

Maisha ya Furaha

New Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
1
Reaction score
8
Hakika naamini sio mimi pekee niliyebarikiwa na post zako pamoja na michango yako humu.Umekua sehemu ya kweli ya baraka na maana halisi ya urafiki bila hata kujuana, msaada wako wa kimawazo kwangu umekua mkubwa sana zaidi ya mali na pesa nilizonazo .Ninapenda kukushukuru sana kwa msaada wako wa mawazo sasa nina amani na maisha yenye furaha, ubarikiwe sana na familia yangu imerudi kua na furaha tena.
Wanaume tulio Oa tujitahidi sana kutumia akili zetu kuhakikisha familia inazidi kua bora, tuwapende wake zetu, kwa hakika michepuko ni chanzo kikubwa cha kupotea kwa amani ndani ya familia.Mimi ni Baba mwenye miaka 41 mwenye mke na watoto 3 , miezi minne ilopita nimepitia kipindi kigumu sana maishani mwangu , nikaachana na mama watoto , kwa sababu ya ujinga niloufanya mimi , nachoweza sema zaidi ubarikiwe sana mdogo wangu, nishukuru pia jamiiforum kwa kuweza kunikutanisha na watu kama hawa , niwashukuru wooote kwa ujumla wenu.Niwaombeni ndugu zangu , sio kila habari tunaipuuzia , wengine tunakua tumefikia hatua mbaya zaidi , ambapo Pesa na Mali unaviona vyote havifai.
Carlos wewe sasa ni zaidi ya Rafiki , nakuhesabu kama ndugu yangu na mdogo wangu. Ukapewe Afya njema na maisha marefu na uzidi kua mwenye hekima na maarifa.
 
Daah , shukran Kaka , naww ubarikiw na furaha ikadumu kutawala katika maisha yako

Changamoto zipogo kutuimarisha Iman yetu nasio kutumaliza.

[emoji117]Hata ivo maisha bila changamoto yangeboa kichizi[emoji23]

Asante kwa kua sehemu yako ya Faida!! [emoji109]
 
Hakika naamini sio mimi pekee niliyebarikiwa na post zako pamoja na michango yako humu.Umekua sehemu ya kweli ya baraka na maana halisi ya urafiki bila hata kujuana, msaada wako wa kimawazo kwangu umekua mkubwa sana zaidi ya mali na pesa nilizonazo .Ninapenda kukushukuru sana kwa msaada wako wa mawazo sasa nina amani na maisha yenye furaha, ubarikiwe sana na familia yangu imerudi kua na furaha tena.
Wanaume tulio Oa tujitahidi sana kutumia akili zetu kuhakikisha familia inazidi kua bora, tuwapende wake zetu, kwa hakika michepuko ni chanzo kikubwa cha kupotea kwa amani ndani ya familia.Mimi ni Baba mwenye miaka 41 mwenye mke na watoto 3 , miezi minne ilopita nimepitia kipindi kigumu sana maishani mwangu , nikaachana na mama watoto , kwa sababu ya ujinga niloufanya mimi , nachoweza sema zaidi ubarikiwe sana mdogo wangu, nishukuru pia jamiiforum kwa kuweza kunikutanisha na watu kama hawa , niwashukuru wooote kwa ujumla wenu.Niwaombeni ndugu zangu , sio kila habari tunaipuuzia , wengine tunakua tumefikia hatua mbaya zaidi , ambapo Pesa na Mali unaviona vyote havifai.
Carlos wewe sasa ni zaidi ya Rafiki , nakuhesabu kama ndugu yangu na mdogo wangu. Ukapewe Afya njema na maisha marefu na uzidi kua mwenye hekima na maarifa.
JF nazani inafanya updating kwa kuwa na baadhi ya member ambao hawajakaa Facebook muda mrefu.
Shukran kwako na kwake.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Jf ni sehemu pekee ambapo ukiwa na shida kweli unapata ufumbuzi wa shida yako, japo kuna baadhi ya members ambao huwa hawajui kusoma alama za nyakati (sijui ndio wale wa fb)

Naweza nikashindwa kutiririsha faida kedekede za jf lakini ukweli unabaki palepale kwamba Jf ni baaaab kubwa.

Nakupenda Jamii Forum,
Nakupenda sana,
Nakupenda.
 
Back
Top Bottom