Kufanyiwa FITINAA za Wazii...!

Kufanyiwa FITINAA za Wazii...!

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,163
Reaction score
43,988
Katika maisha ya mwanadamu kuna Kutafuta Riziki ambayo Mungu ndio hutoa lakini sometimes wanadamu wenyewe huwa tunafanyaana Fitina za wazii kabisa na kuzibiana ili watu wengine wasipate Nafasi Fulani au Kazi..!!

Je wewe ushawahi fanyiwa Fitina kwenye Masomo...Kazi au Cheo chako hata mapenzi ili usifanikiwee???! Ilikuwajee?? Tushirikishane
 
niko na mama mkubwa wangu mmoja ashaziba kila kona ila natoboa tu,sasa nishaanza muhisi atakua mchawi yule mwanamke.
 
Mimi fitna haziishi daily!, harafu na watu naoshare nao DNA kabisa
 
Chuo walinikazia na kunifanyia fitna za wazi mpaka sikupata nafasi yakua best student! Kila mwaka nagongana na mtu alafu yeye ananiacha point 1 au 2 aysee nilikua naomia after all tumemaliza ila dah
 
Back
Top Bottom